2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,718
I SEE... OKAY
Fundi Mhandisi na architects wa hili jengo wako vizuri sana wana mkono mzuri.
akuna ubunifu mfanano ni kama Ikulu ya Magogoni,wameiga kilakitu mkuu.Fundi Mhandisi na architects wa hili jengo wako vizuri sana wana mkono
Je ni wazawa kama wa kariako na kitega uchumi?
Tueleweshwe hapaMsingi ndio bilioni au nondo tupu ndio bilioni?
You are too shallow ikulu gani unaiongelea?tuna ikulu nyingi kubwa na ndogo so ni ipi?Kwa lugha rahisi ni milioni elfu moja.
===
Martin kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) anaandika
Hili ni tatizo la kununua bidhaa mtandaoni. Unakuta bidhaa ya elfu ishirini, mtandaoni wanasema ni laki moja. Serikali imenunua nondo mtandaoni, wamejenga msingi wa ghorofa moja tu kwa shilingi bilioni moja. Kwa lugha rahisi, milioni elfu moja. Hii nchi pesa ipo bablai.
Chanzo: Maltin maranja masese
Nadhani huyu jamaa yetu hajui gharama za ujenzi na huenda hata choo hajawahi jengaBiafsi naona ni uzalendo wa hali ya juu kipindi cha JPM
Jengo kubwa kama hilo lenye jina zito kutumia msingi wa 1B
Kwa hawa viwavijeshi ingetumika 1 T
Biafsi naona ni uzalendo wa hali ya juu kipindi cha JPM
Jengo kubwa kama hilo lenye jina zito kutumia msingi wa 1B
Kwa hawa viwavijeshi ingetumika 1 T
Watu wanafananisha msingi wa ikulu na Nyumba zao za kuishi huko mwembetogwa