Msingi wa Ikulu ya Dodoma, ulitumia nondo za Tsh. Bilioni 1

Msingi wa Ikulu ya Dodoma, ulitumia nondo za Tsh. Bilioni 1

Mambo mengine ni ya kutumia akili tu hata kama huna details. Kwani unahitaji kupata details gani kujua kuwa Ikulu kama ile lazima itakuwa na underground bunkers? Anadhani bunkers zinajengwa kama nyumba za matembe za kule singida na dodoma? Jamaa ni mjinga tu, hashughulishi ubongo wake kufikiri.
Huo ulazima wewe umeutoa wapi!? BTW kinachobishaniwa ni gharama, na ndicho nilichoandika.
 
Maajaabu ya Tanzania.
Tanzania pekee ndio nchi duniani kila rai ni mtaalam. Mwalimu na mwanafunzi wanalingana maarifa.
Kwani tujadili gharama ya ikulu ilihali sote tunatambua kua ndio makazi namba moja ya muongoza nchi. Amiri Jeshi - Mwajiri mkuu - na mlinda pexa za nchi yetu.
Tukubaliane ujenzi wa ikulu ya nchi sio ujenzi wa nyumba za wafanya kazi wa serikali.
Alichozungumzia ni bei ya nondo kuwa kubwa kwa aina na ubora uleule, yaani kiwanda kilekile, unene wa nondo uleule, urefu uleule, uzito uleule na ubora uleule, kwanini kuwa na ongezeko la bei, kwa sababu tu zitatumika kujengea ikulu!
 
Biafsi naona ni uzalendo wa hali ya juu kipindi cha JPM
Jengo kubwa kama hilo lenye jina zito kutumia msingi wa 1B
Kwa hawa viwavijeshi ingetumika 1 T
We shetani wako aliikuta hii nchi imeshajengwa hata hivyo hakuna la maana alilofanikisha ndani ya miaka 5 zaidi ta kufokafoka. Zaidi alikuwa fisadi aliyeweza kupumbaza wapumbavu km wewe. Baada ya kufa zilikuwa mamia ya mabilioni nyumbani kwake. Mabilioni mengi aliyaficha China, kwa ndani ya muda mfupi sana alifanya ufisadi mkubwa sana. Mzalendo wa kweli nchi hii ni baba wa Taifa alikaa madarakani miak 24 na kuondoka akiwa na nyumba moja tu tena ya kimaskini. Magufuli ndani ya muda aliharibu sana hii nchi, umoja wa kitaifa uliyumba sana. Aliitia nchi hasara kwa miradi ya kipuuzi kn uwanga wa ndege Chato. Mfuate huyo shetani wako kn unampenda sana.
 
Iwe ni msingi kwa jumla au nondo za msingi pekee bado serikali imebanabana sana matumizi hapo! Maana hiyo ni ikulu na wala siyo kibanda cha video

Ukikaaa ukatulia vizuri utagundua "wapinzani" hawatakiwi kukubaliana na chochote kitakachofanywa na serikali further more upinzani is a sham
 
Kwa lugha rahisi ni milioni elfu moja.
Martin kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) anaandika

Hili ni tatizo la kununua bidhaa mtandaoni. Unakuta bidhaa ya elfu ishirini, mtandaoni wanasema ni laki moja. Serikali imenunua nondo mtandaoni, wamejenga msingi wa ghorofa moja tu kwa shilingi bilioni moja. Kwa lugha rahisi, milioni elfu moja. Hii nchi pesa ipo bablai.

View attachment 2945423

=====

Ujenzi wa msingi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma ulitumia nondo zenye thamani ya shilingi Bilioni 1 kutokana na mahitaji ya ujenzi wa jengo imara ambalo litaduma karne na karne" - Meja Jenerali Mbugi
Shida yako ni kuona mbali mno
 
We ni bogus, sasa kati ya kujenga Ikulu na kununua magoli ya Simba na Yanga kipi ni upuuzi?

..vyote ni upuuzi.

..Jpm aliahidi Tanzania ya VIWANDA, sio kununua midege, na kujenga Ikulu na mji wa serikali Dodoma.
 
Back
Top Bottom