Msingi wa Ikulu ya Dodoma, ulitumia nondo za Tsh. Bilioni 1

Hivi anazungumzia Ikulu ya nchi, au anazungumzia kibandamaiti chake? Alitaka msingi wa Ikulu ujengwe kwa nondo za mil 20?
Ujinga mwingine hauna hata mdano!
Mnabishana kitu ambacho wote hamkijui. Hakuna mwenye details za jengo kuweza kufanya tathmini ya kweli ya gharama halisi ya ujenzi husika.
 
Kwa lugha rahisi ni milioni elfu moja.
Martin kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) anaandika

Hili ni tatizo la kununua bidhaa mtandaoni. Unakuta bidhaa ya elfu ishirini, mtandaoni wanasema ni laki moja. Serikali imenunua nondo mtandaoni, wamejenga msingi wa ghorofa moja tu kwa shilingi bilioni moja. Kwa lugha rahisi, milioni elfu moja. Hii nchi pesa ipo bablai.

View attachment 2945423

=====

Ujenzi wa msingi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma ulitumia nondo zenye thamani ya shilingi Bilioni 1 kutokana na mahitaji ya ujenzi wa jengo imara ambalo litaduma karne na karne" - Meja Jenerali Mbugi
Ikulu gani haijazungukwa na miti wala Bustani ya kuonekana?
Yaani hiyo Ikulu ya hovyo kabisa Duniani, yaani hiyo Ikulu ipo jangwani
 
Upinzani jitafuteni upya kwa agenda sio vioja hivi vya kuokoteza, mnatia aibu kujaribu kukosoa kila kitu.
 
Kwa lugha rahisi ni milioni elfu moja.
Martin kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) anaandika

Hili ni tatizo la kununua bidhaa mtandaoni. Unakuta bidhaa ya elfu ishirini, mtandaoni wanasema ni laki moja. Serikali imenunua nondo mtandaoni, wamejenga msingi wa ghorofa moja tu kwa shilingi bilioni moja. Kwa lugha rahisi, milioni elfu moja. Hii nchi pesa ipo bablai.

View attachment 2945423

=====

Ujenzi wa msingi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma ulitumia nondo zenye thamani ya shilingi Bilioni 1 kutokana na mahitaji ya ujenzi wa jengo imara ambalo litaduma karne na karne" - Meja Jenerali Mbugi
1Ikulu ndipo kwenye kiti cha Urais, kwahyo hilo ujenzi wake lazima uzingatie ulinzi na Usalama wa Rais.Ambapo

1.Lazima ili Jengo liwe na Floor za basement mbili au zaidi (Floor za chini ya ardhi)

2.Jengo lazima liwe na Njia maalum ya kutoroshea viongozi kwenye hali ya hatari.

3.Kuta za hizo basement zitakuwa na unene wa kati ya sentimita 50 hadi 200 ,ambazo ni zege gumu lenye nondo.

4.Lazima kuwe chamber maalum ya kuzuia Mabom (Bunker)

Watu waache kukurupuka kama vitu ni nje ya upeo na fani yao.
 
Naona Leo Jf mnamshulikia mshamba wa Twita

Mtu ajawahi kujenga hata choo mnabishana nae?

Vijana wengi wa Chadema wamemchoka kimaisha sana na washamba sana ndio maana nyumba ya Boni Yai wameifanya kama kitu Cha fahari na Cha ajabu wakati kijana wa umri wa miaka 30 anajenga tena na biashara halali na Wala achukui miaka 8

Nawashauri sana vijana acheni kushindana mitandaoni huku kula yenu ikiwa ya kuunga unga kama Huyo MM, Yeriko nk

Maisha yao halisi wanatia huruma
 
maoni ya kihuni haya wale wasio chezea Kodi walifanya Nini? nusu ya wilaya zote nchini hazikuwa na hospitali za wilaya, jpm alihakikisha Kila wilaya Ina hospitali na Kila halmashauri Ina hospitali yake ya wilaya,jpm alikuwa mwiba Kwa waharifu wa kimfumo na ndio nyie Kila siku ni kumsema vibaya marehemu kulipa kisasi Kwa kuzuia uharifu wenu.

..Magufuli asingechezea kodi zetu kwa kujenga mji Mkuu mpya, tungekuwa na fedha nyingi zaidi kujenga hospitali za wilaya, halmashauri, na mikoa.
 
Ikulu gani haijazungukwa na miti wala Bustani ya kuonekana?
Yaani hiyo Ikulu ya hovyo kabisa Duniani, yaani hiyo Ikulu ipo jangwani
Kumbuka bado ujenzi unaendelea, Na wakimaliza wataanza phase ya Landscape,,aiseeh mbona watu ni wepesi wa kuponda kila kitu.
 
Kwa lugha rahisi ni milioni elfu moja.
Martin kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) anaandika

Hili ni tatizo la kununua bidhaa mtandaoni. Unakuta bidhaa ya elfu ishirini, mtandaoni wanasema ni laki moja. Serikali imenunua nondo mtandaoni, wamejenga msingi wa ghorofa moja tu kwa shilingi bilioni moja. Kwa lugha rahisi, milioni elfu moja. Hii nchi pesa ipo bablai.

View attachment 2945423

=====

Ujenzi wa msingi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma ulitumia nondo zenye thamani ya shilingi Bilioni 1 kutokana na mahitaji ya ujenzi wa jengo imara ambalo litaduma karne na karne" - Meja Jenerali Mbugi
Asset za serikali huwa wananunua vile vyenye thamani ya daraja la juu. Ndio maana bati la kujengea ni kuanzia geji 28, 26 kushuka chini. Nondo ni milimita 50,45, 36, 30, 25, 16, 12, 10. Tofali ni lile lililotengezwa kwa mfuko mmoja wa simenti kutoa tofali zisizozidi 28 Nk
 
Mnabishana kitu ambacho wote hamkijui. Hakuna mwenye details za jengo kuweza kufanya tathmini ya kweli ya gharama halisi ya ujenzi husika.
Mambo mengine ni ya kutumia akili tu hata kama huna details. Kwani unahitaji kupata details gani kujua kuwa Ikulu kama ile lazima itakuwa na underground bunkers? Anadhani bunkers zinajengwa kama nyumba za matembe za kule singida na dodoma? Jamaa ni mjinga tu, hashughulishi ubongo wake kufikiri.
 
Kwa Ikulu hio gharama ni very fair tena kwakuwa ilijengwa na mzalendo mwenyewe. Wangekuwa wazee wa PPP ungeskia msingi tu ni billion 100 halafu mama angejikausha kimya tu.
 
Ni kama nimeelewa hoja yako, Hakika kipindi cha JPM , "viwavijeshi " walipata tabu kujichotea, ila si kweli kuwa walikuwa hawachoti.
kuiba waliiba ila mara zote waliagana na nyonga😂 maana kulikuwa na mawili. Kushikwa upoteze kila kitu au ufanikiwe uendelee kuwepo kazini. Hili liliwapa hofu wengi na kuamua kuacha dili za hivyo ili kulinda vibarua vyao.
 
Kwa Ikulu hio gharama ni very fair tena kwakuwa ilijengwa na mzalendo mwenyewe. Wangekuwa wazee wa PPP ungeskia msingi tu ni billion 100 halafu mama angejikausha kimya tu.
Unajua tunahangaika na watu wanaotafuta cheap popularity kwa kuandika vitu bila kufikiria, bora tu wavutie wasomaji.
Hivi kweli mkuu, bunker ya Ikulu inayoweza kustahimili milipuko mikubwa na mabomu, unaweza kuijenga kwa nondo ambazo ukimpigia mbwa nondo inajikunja? Ni upuuzi wa hali ya juu kudhani hivyo!
 
Kwa lugha rahisi ni milioni elfu moja.
Martin kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) anaandika

Hili ni tatizo la kununua bidhaa mtandaoni. Unakuta bidhaa ya elfu ishirini, mtandaoni wanasema ni laki moja. Serikali imenunua nondo mtandaoni, wamejenga msingi wa ghorofa moja tu kwa shilingi bilioni moja. Kwa lugha rahisi, milioni elfu moja. Hii nchi pesa ipo bablai.

View attachment 2945423

=====

Ujenzi wa msingi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma ulitumia nondo zenye thamani ya shilingi Bilioni 1 kutokana na mahitaji ya ujenzi wa jengo imara ambalo litaduma karne na karne" - Meja Jenerali Mbugi
Maajaabu ya Tanzania.
Tanzania pekee ndio nchi duniani kila rai ni mtaalam. Mwalimu na mwanafunzi wanalingana maarifa.
Kwani tujadili gharama ya ikulu ilihali sote tunatambua kua ndio makazi namba moja ya muongoza nchi. Amiri Jeshi - Mwajiri mkuu - na mlinda pexa za nchi yetu.
Tukubaliane ujenzi wa ikulu ya nchi sio ujenzi wa nyumba za wafanya kazi wa serikali.
 
Unajua tunahangaika na watu wanaotafuta cheap popularity kwa kuandika vitu bila kufikiria, bora tu wavutie wasomaji.
Hivi kweli mkuu, bunker ya Ikulu inayoweza kustahimili milipuko mikubwa na mabomu, unaweza kuijenga kwa nondo ambazo ukimpigia mbwa nondo inajikunja? Ni upuuzi wa hali ya juu kudhani hivyo!
mpuuzi huyo😂
 
Kwa lugha rahisi ni milioni elfu moja.
Martin kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) anaandika

Hili ni tatizo la kununua bidhaa mtandaoni. Unakuta bidhaa ya elfu ishirini, mtandaoni wanasema ni laki moja. Serikali imenunua nondo mtandaoni, wamejenga msingi wa ghorofa moja tu kwa shilingi bilioni moja. Kwa lugha rahisi, milioni elfu moja. Hii nchi pesa ipo bablai.

View attachment 2945423

=====

Ujenzi wa msingi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma ulitumia nondo zenye thamani ya shilingi Bilioni 1 kutokana na mahitaji ya ujenzi wa jengo imara ambalo litaduma karne na karne" - Meja Jenerali Mbugi
Kama wazungu walituonea huruma tukaweza kurudishiwa chenji ya rada kwanini tusiweze kurudishiwa chenji ya nondo! TUNATAKA CHENJI YETU.
 
Back
Top Bottom