Msingi wa Ikulu ya Dodoma, ulitumia nondo za Tsh. Bilioni 1

Kwa hiyo kipi cha ajabu hapo? Anajua jengo zima linabeba tani ngapi hapo? Maana nondo hizo ni kama zaidi kidogo ya 50,000pcs au tani 600 kasoro kidogo!
 
Mimi sijaona umuhimu wa kuhamia Dodoma, ila, ukishaamua kuhamia, kwa Ikulu, hiyo hela nitakachoshangaa mbona kama ndogo.

Shilingi bilioni moja haifiki hata dola za Kimarekani nusu milioni.

Kwa msingi wa Ikulu kubwa kama hiyo ni gharama ya kawaida kabisa.

Inawezekana wamejibana hapo.
 
Kawaida sana, tena hizo ndogo, hapo lazima kuna mahandaki yenye zege la unene wa kuhimili makombora mazito, pia lazima kuna underground (njia za chini kwa chini) za kuondoka kama kuna dharura, na inaweza kuwa na urefu wa zaidi ya kilometa moja, na ni njia zaidi ya moja
 
Nchi imejaa majangili tupu
 
Hakuna lolote
 
Hakuna shida kwa ikulu lazima ubora uzingatiwe..
Mimi alichonikera JPM ni kuamisha aina ya jengo la dar es salaam kujenga doeoma bora angetafuta ramani mpya ya kisasa tu.
 
Mbona walisema majengo yake ni ya kipekee ndiyo maana walikataa kujengewa na wafadhili toka nje mbona hapa yanafanana na yale ya Dar
 
..hatukupaswa kujenga Ikulu mpya.

..kujenga makao makuu mapya Dodoma ni kuchezea kodi za wananchi maskini.
maoni ya kihuni haya wale wasio chezea Kodi walifanya Nini? nusu ya wilaya zote nchini hazikuwa na hospitali za wilaya, jpm alihakikisha Kila wilaya Ina hospitali na Kila halmashauri Ina hospitali yake ya wilaya,jpm alikuwa mwiba Kwa waharifu wa kimfumo na ndio nyie Kila siku ni kumsema vibaya marehemu kulipa kisasi Kwa kuzuia uharifu wenu.
 
Nchi haiishi maajabu, huko Morogoro Mochwari inavuja kabla haijatumika. Kilimanjaro bwanakilimo ndio amekua mhandisi ujenzi wa hospitali. Huko Singida Dendego nae analalamika
Nchi ya malalamiko hakuna wakudhibiti ubadhirifu zaidi nikuunda tume na mtuhumiwa kuhamishwa
 
Hao ndio wazalendo tunaowataka watanzania.kwa maana hiyo msingi no imara siyo hivi vishule uchwara vinavyojenngwa na huyu maza
Dr Janabi: Haters wa mama Samia Suluhu Hassan hatarini kujifungua kabla ya wakati!!

Kadri mnavyoongeza jitihada za kumchukia ndivyo anavyozidi kufanikiwa........more chukiz please!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…