Mnabishana kitu ambacho wote hamkijui. Hakuna mwenye details za jengo kuweza kufanya tathmini ya kweli ya gharama halisi ya ujenzi husika.Hivi anazungumzia Ikulu ya nchi, au anazungumzia kibandamaiti chake? Alitaka msingi wa Ikulu ujengwe kwa nondo za mil 20?
Ujinga mwingine hauna hata mdano!
Ikulu gani haijazungukwa na miti wala Bustani ya kuonekana?Kwa lugha rahisi ni milioni elfu moja.
Martin kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) anaandika
Hili ni tatizo la kununua bidhaa mtandaoni. Unakuta bidhaa ya elfu ishirini, mtandaoni wanasema ni laki moja. Serikali imenunua nondo mtandaoni, wamejenga msingi wa ghorofa moja tu kwa shilingi bilioni moja. Kwa lugha rahisi, milioni elfu moja. Hii nchi pesa ipo bablai.
View attachment 2945423
=====
Ujenzi wa msingi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma ulitumia nondo zenye thamani ya shilingi Bilioni 1 kutokana na mahitaji ya ujenzi wa jengo imara ambalo litaduma karne na karne" - Meja Jenerali Mbugi
1Ikulu ndipo kwenye kiti cha Urais, kwahyo hilo ujenzi wake lazima uzingatie ulinzi na Usalama wa Rais.AmbapoKwa lugha rahisi ni milioni elfu moja.
Martin kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) anaandika
Hili ni tatizo la kununua bidhaa mtandaoni. Unakuta bidhaa ya elfu ishirini, mtandaoni wanasema ni laki moja. Serikali imenunua nondo mtandaoni, wamejenga msingi wa ghorofa moja tu kwa shilingi bilioni moja. Kwa lugha rahisi, milioni elfu moja. Hii nchi pesa ipo bablai.
View attachment 2945423
=====
Ujenzi wa msingi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma ulitumia nondo zenye thamani ya shilingi Bilioni 1 kutokana na mahitaji ya ujenzi wa jengo imara ambalo litaduma karne na karne" - Meja Jenerali Mbugi
Ni kweli kabisa mkuu..1. Ushamba umezidi
2. Elimu ndogo hata ile ya kujaribu kuutafuta ukweli.
Note: Ikulu ndio Tanzania yenyewe hata ingejengwa kwa Trilioni ni sawa
maoni ya kihuni haya wale wasio chezea Kodi walifanya Nini? nusu ya wilaya zote nchini hazikuwa na hospitali za wilaya, jpm alihakikisha Kila wilaya Ina hospitali na Kila halmashauri Ina hospitali yake ya wilaya,jpm alikuwa mwiba Kwa waharifu wa kimfumo na ndio nyie Kila siku ni kumsema vibaya marehemu kulipa kisasi Kwa kuzuia uharifu wenu.
Kumbuka bado ujenzi unaendelea, Na wakimaliza wataanza phase ya Landscape,,aiseeh mbona watu ni wepesi wa kuponda kila kitu.Ikulu gani haijazungukwa na miti wala Bustani ya kuonekana?
Yaani hiyo Ikulu ya hovyo kabisa Duniani, yaani hiyo Ikulu ipo jangwani
unatia huruma...Magufuli asingechezea kodi zetu kwa kujenga mji Mkuu mpya, tungekuwa na fedha nyingi zaidi kujenga hospitali za wilaya, halmashauri, na mikoa.
Asset za serikali huwa wananunua vile vyenye thamani ya daraja la juu. Ndio maana bati la kujengea ni kuanzia geji 28, 26 kushuka chini. Nondo ni milimita 50,45, 36, 30, 25, 16, 12, 10. Tofali ni lile lililotengezwa kwa mfuko mmoja wa simenti kutoa tofali zisizozidi 28 NkKwa lugha rahisi ni milioni elfu moja.
Martin kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) anaandika
Hili ni tatizo la kununua bidhaa mtandaoni. Unakuta bidhaa ya elfu ishirini, mtandaoni wanasema ni laki moja. Serikali imenunua nondo mtandaoni, wamejenga msingi wa ghorofa moja tu kwa shilingi bilioni moja. Kwa lugha rahisi, milioni elfu moja. Hii nchi pesa ipo bablai.
View attachment 2945423
=====
Ujenzi wa msingi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma ulitumia nondo zenye thamani ya shilingi Bilioni 1 kutokana na mahitaji ya ujenzi wa jengo imara ambalo litaduma karne na karne" - Meja Jenerali Mbugi
Mambo mengine ni ya kutumia akili tu hata kama huna details. Kwani unahitaji kupata details gani kujua kuwa Ikulu kama ile lazima itakuwa na underground bunkers? Anadhani bunkers zinajengwa kama nyumba za matembe za kule singida na dodoma? Jamaa ni mjinga tu, hashughulishi ubongo wake kufikiri.Mnabishana kitu ambacho wote hamkijui. Hakuna mwenye details za jengo kuweza kufanya tathmini ya kweli ya gharama halisi ya ujenzi husika.
Bati wanatumiaga 26 gaugeAsset za serikali huwa wananunua vile vyenye thamani ya daraja la juu. Ndio maana bati la kujengea ni kuanzia geji 28, 26 kushuka chini. Nondo ni milimita 50,45, 36, 30, 25, 16, 12, 10. Tofali ni lile lililotengezwa kwa mfuko mmoja wa simenti kutoa tofali zisizozidi 28 Nk
We ni bogus, sasa kati ya kujenga Ikulu na kununua magoli ya Simba na Yanga kipi ni upuuzi?..hatukupaswa kujenga Ikulu mpya.
..kujenga makao makuu mapya Dodoma ni kuchezea kodi za wananchi maskini.
kuiba waliiba ila mara zote waliagana na nyonga😂 maana kulikuwa na mawili. Kushikwa upoteze kila kitu au ufanikiwe uendelee kuwepo kazini. Hili liliwapa hofu wengi na kuamua kuacha dili za hivyo ili kulinda vibarua vyao.Ni kama nimeelewa hoja yako, Hakika kipindi cha JPM , "viwavijeshi " walipata tabu kujichotea, ila si kweli kuwa walikuwa hawachoti.
Unajua tunahangaika na watu wanaotafuta cheap popularity kwa kuandika vitu bila kufikiria, bora tu wavutie wasomaji.Kwa Ikulu hio gharama ni very fair tena kwakuwa ilijengwa na mzalendo mwenyewe. Wangekuwa wazee wa PPP ungeskia msingi tu ni billion 100 halafu mama angejikausha kimya tu.
Maajaabu ya Tanzania.Kwa lugha rahisi ni milioni elfu moja.
Martin kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) anaandika
Hili ni tatizo la kununua bidhaa mtandaoni. Unakuta bidhaa ya elfu ishirini, mtandaoni wanasema ni laki moja. Serikali imenunua nondo mtandaoni, wamejenga msingi wa ghorofa moja tu kwa shilingi bilioni moja. Kwa lugha rahisi, milioni elfu moja. Hii nchi pesa ipo bablai.
View attachment 2945423
=====
Ujenzi wa msingi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma ulitumia nondo zenye thamani ya shilingi Bilioni 1 kutokana na mahitaji ya ujenzi wa jengo imara ambalo litaduma karne na karne" - Meja Jenerali Mbugi
mpuuzi huyo😂Unajua tunahangaika na watu wanaotafuta cheap popularity kwa kuandika vitu bila kufikiria, bora tu wavutie wasomaji.
Hivi kweli mkuu, bunker ya Ikulu inayoweza kustahimili milipuko mikubwa na mabomu, unaweza kuijenga kwa nondo ambazo ukimpigia mbwa nondo inajikunja? Ni upuuzi wa hali ya juu kudhani hivyo!
Kama wazungu walituonea huruma tukaweza kurudishiwa chenji ya rada kwanini tusiweze kurudishiwa chenji ya nondo! TUNATAKA CHENJI YETU.Kwa lugha rahisi ni milioni elfu moja.