Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.
Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.
Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.
Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu