Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Amekufa lini?mwendo umeumaliza
Hivi kuna mwanaume asiye kunywa pombe?Unakunywa pombe...?
Na hapa inabidi kuweka msisitizo; kuna pombe/ vilevi vya aina nyingi.Hivi kuna mwanaume asiye kunywa pombe?
Kama mpaka leo hujajua ni wapi ulipokosea au unapokosea basi ushauri utakao pewa hapa itakua ni kazi bure tu,Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Asante sana M SwedenKama mpaka leo hujajua ni wapi ulipokosea au unapokosea basi ushauri utakao pewa hapa itakua ni kazi bure tu,
Huwezi kusolve matatizo bila kujua chanzo cha matatizo,ndio maana umekua unarudi kule kule tu kila leo,
Jitafakari ni wapi unakosea kisha chukua hatua,
Yangu ni hayo tu,
Kwenu kwa wanangu wa Daslam.
Tumpe channel, ata ya kuuza matunda atatoboa, atakua ameharibu sana huko nyumaKama mpaka leo hujajua ni wapi ulipokosea au unapokosea basi ushauri utakao pewa hapa itakua ni kazi bure tu,
Huwezi kusolve matatizo bila kujua chanzo cha matatizo,ndio maana umekua unarudi kule kule tu kila leo,
Jitafakari ni wapi unakosea kisha chukua hatua,
Yangu ni hayo tu,
Kwenu wanangu wa Daslam mtoe ushauri zaidi kwa mwanetu.