Leo nakuja na aina nyingine ya mawazo kwa dhamira njema ya nchi yangu na taifa, hii siyo kwa ajili ya maslahi ya mtu mmoja mmoja ila kwa maslahi ya nchi
Hivi toka uhuru hakujawahi kutokea mjumbe, balozi wa nyumba kumi, mwenyekiti wa mtaa au mjumbe wa kamati ya ya ulinzi na usalama wa mtaa akafit kwenye nafasi fulani ya uongozi katika selikari ukiondoa hizi za kujitolea? Ambazo hazina posho yoyote?
Let me declare my interest mimi ni mwenyekiti wa mtaa na nina bachelor ya utawala toka chuo fulani hapa Tanzania na nimeshiriki mambo mengi ya kuendeleza nchi yetu, je sina vigezo?
Wakati bado tuna utawala huanzia chini, kura zote huanzia huku?
Mama ninakuomba kwa jicho la unyenyekevu hebu angalia huku pia, maisha ya kisiasa hutegemea mambo mengi, ni muhimu pia wakati tunadeal na time factor and fashion pia tukaangalia hili
With respect to all tanzania leaders maana tawala zote hutoka kwa Mungu basi pia kwa heshima tunashauri