Msiniulize kuhusu picha ya 2Pac Shakur, THIS IS ME!

jmushi1

Platinum Member
Joined
Nov 2, 2007
Posts
26,329
Reaction score
25,263
Wanajamvi,

Kila mara nikiweka picha yangu halisi, member wengi huwa wananishauri nirudishe ya Tupac, sasa nimeona niachane na utumwa wa kukaa kivulini,nimeweka avatar ya picha yangu halisi! God is great! Kama kuna wasioipenda, wale ambao wanafuatilia maoni yangu na kuyapenda, na wanataka nirudishe ile ya Tupac Shakur, tujulishane🙏🏾😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…