Msiniulize kuhusu picha ya 2Pac Shakur, THIS IS ME!

Duh hujui huyo ni mtu wangu humu.. Kaka yangu namba moja humu JF.. Siwezi kukusapoti hata kidunchu kumtukana kwa kuninukuu na kivyovyote pia. Umejiweka wazi unatakiwa upokee lolote linalokujia.. kwa kukaa kimya ujisaidie..

Coco I’ve missed you....missed you a lot.
 
Duh hujui huyo ni mtu wangu humu.. Kaka yangu namba moja humu JF.. Siwezi kukusapoti hata kidunchu kumtukana kwa kuninukuu na kivyovyote pia. Umejiweka wazi unatakiwa upokee lolote linalokujia.. kwa kukaa kimya ujisaidie..
I’m the real nigga
 
Nimerudi kuwekeza wasukuma bado hawapendi?Damn!
 
Anzisheni thread ya mapenzi yenu. Wtf

Eeeeeeeh
Kaka na Dada tufanyeje!!!! Hujui hata humu JF kuna undugu na ID zetu fekelo bila kujuana?
Tunasubiri wanaokujua washushe data zako.. eeeeh usikimbie tu..😁
 
Eeeeeeeh
Kaka na Dada tufanyeje!!!! Hujui hata humu JF kuna undugu na ID zetu fekelo bila kujuana?
Tunasubiri wanaokujua washushe data zako.. eeeeh usikimbie tu..😁
I’m the realest. Wtf. I running from nobody. Niko kikazi zaidi
 
Mimi ni mchagga na Bantu original! Hii kima Nyani Ngabu ina diaper inamsumbua.
πŸ˜€ πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€!! Mimi Mchaga original hanipotei kabisa kwa sababu nimekaa nao sana! Wengine wanawatambua Wachaga kwa lafudhi (wale wenye lafudhi ya Kichaga) lakini mimi nawatambua kwa kuwaona tu!! Nime-mingle sana na akina Kimaro, Mushi, Massawe, Kimario, Lyimo , Tarimo na akina Shayo!!
 
Wewe unataka habari gani? Tafuta za hiyo shogako Nyani Ngabu tumbiri mchafu

Acha kumuonea wivu.. kwanini umtaje tajeeee hivi.. ha ha haaaaaa

Unajua ni kiongozi wa watu wanaoishi majuu ya nchi za juu humu na duniani kwa ujumla.. au umesahau cheo chake humu.. wengi wanakionea wivu sanaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…