cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Karibu sana, naona babu Nyani Ngabu mavi yamejaa kwenye diaper😂😂😂
Duh hujui huyo ni mtu wangu humu.. Kaka yangu namba moja humu JF.. Siwezi kukusapoti hata kidunchu kumtukana kwa kuninukuu na kivyovyote pia. Umejiweka wazi unatakiwa upokee lolote linalokujia.. kwa kukaa kimya ujisaidie..