ukague na wire za plug, usije zimwagia majiKama unauzoefu wa magari, naona ni bora ukague gari mwenyewe, tena uliendeshe umbali fulani kwenye lami na barabara mbovu...Hawa mafundi wetu hawa..
Mbona tunabambikiwa sana huku mtaani, halafu pia ukizidisha umakini ndiyo unagongwa mule mule, kupata gari nzuri ni bahati, mafundi wengine unamuamini anaikagua gari anakuambia ipo sawa kumbe gari inamshida yake balaaMi nina CH ila mashine imenyooka kama imetoka Japan juzi. Ikiwa kwenye gear husikii kitu yani nisipopiga honi naweza nikakukanyaga hata miguu maana hutajua kuna gari nyuma yako. Body nimeanza kuichakaza mimi hasa bumper tokana na njia mbovu kuelekea kwangu. Inshort Ni gari nimeuziwa na mtu makini sana nikitaka gari ingine namtafuta maana ana gari zaidi ya moja.
Kilichosumbua mwanzo ni battery tu lilikufa nikaweka jipya la Mkorea. Tangu hapo ni mwendo wa kumwaga oil na kubadilisha filter. Zaidi ya hapo ni regular maintanance kama kuweka Hydraulic na Brake Fluid zinapoisha, wiper na matairi.
Unajua ujanja wa kungalia kilometa kama imeshushwa, kuna watu makini sana wanajuaKupara gari isiosumbua ni bahati tu unaweza agiza gari toka Japan ikaja bongo na ikasumbua wiki kadhaa nyuma nimewahi ona Passo DSE wanaifungua gearbox Reverse inasumbua na juzi hapa nimeona Landcruiser Cynagus DQQ wanaifungua gearbox pia...gari zingine zinazochezewa ni zilizotoka Zanzibar unakuta gari iliingia Zanzibar 2017 inaletwa bongo inapewa usajili DSX, DTG etc kumbe wameshusha KM
Hahahah gari inabidi uwe na ka uzoefu kidogo na sikio zuri.Mbona tunabambikiwa sana huku mtaani, halafu pia ukizidisha umakini ndiyo unagongwa mule mule, kupata gari nzuri ni bahati, mafundi wengine unamuamini anaikagua gari anakuambia ipo sawa kumbe gari inamshida yake balaa
Sasa mi gari ina 198000+ kms ila ni makini kuliko magari mengi ya kms chini ya hapo.Unajua ujanja wa kungalia kilometa kama imeshushwa, kuna watu makini sana wanajua
Why 3000km, weka oil ya 9000kmIla hizi engine za 2NZ na 1NZ za IST zikikushinda basi wewe muharibifu mana ka hujanunua kimeo IST kusema kweli hazina magonjwa ya ovyo nilichukua IST june 2015 namba DE hadi leo namwaga oil tu kikubwa huwa sizidishi kilomita 3000 zoezi kubwa nililofanya ni kubadili betri tu....
Kamechoka bampa tu sababu ya barabara mbovu ila injini kinanda
Duh hiyo Oil kali sijui na Filter yake ipo au utafungua mara 3Why 3000km, weka oil ya 9000km
Mwishoni wataenda kaburini kwa Mtikila maana yeye ndio mwasisi was DPVijana wa leo utasikia nitaftie namba DP, DQ, Mara DS [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sorry hv mwaka 2015 hapa bongo usajili wa magar ulikuwa ushafika namba D?Ila hizi engine za 2NZ na 1NZ za IST zikikushinda basi wewe muharibifu mana ka hujanunua kimeo IST kusema kweli hazina magonjwa ya ovyo nilichukua IST june 2015 namba DE hadi leo namwaga oil tu kikubwa huwa sizidishi kilomita 3000 zoezi kubwa nililofanya ni kubadili betri tu....
Kamechoka bampa tu sababu ya barabara mbovu ila injini kinanda
Wanasemaga nyuki hawaumani[emoji23]
Nafikiri D ilianza 2014 kama ntakua sijasahausorry hv mwaka 2015 hapa bongo usajili wa magar ulikuwa ushafika namba D?
Nafikiri D ilianza 2014 kama ntakua sijasahau