NewGapi
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 313
- 960
Hii ni October 2014.mm jamaa yangu kanunua gari Mark II Oktoba 2015 JK anamkabidhi JPM
namba alipewa DAB nyie mmekimbiza mpaka DGS?
Mimi DFZ nina uhakika nayo, nipo na kadi naiangalia hapa,
Pia DAA Ilianza September 2014,