Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwli kabisa mie kuna fundi wangu niliwahi mwambie nina milioni sita anitafutie IST ambayo iko vizuri, akaniambia ngumu sana kupata kwa hiyo bei. Na kweli ni ngumu kupata gari nzuri IST kwa bei hiyo. Sasa kuna siku nikakuta kuna gari IST inauzwa milioni tatu na nusu ila imechoka balaa. Yaani ile choka kweli kweli mpaka taa zimefungwa na kamba kioo full maufa.Mafundi wa kuokota hao fundi wako unaemwamini hawezi kukufanyia kitu kama icho
Kweli kabisa juzi nimekutana na Land Cruiser namba A lilikuwa jipya kabisa sijui mmiliki amelitunza namna gani
Kweli mana namba CU, CV, VW, CX, CY , CZ hazipo mbali sana na DA, DB, DC,Kabla ya kutaka namba D angalia hyo namba ina muda gani mtaan mpaka sasa
Kuna magari yanaingia Tanganyika toka Zanzibar yanasajiliwa T....DUA ilhali huko Zenji limeendeshwa toka 2014.Kabla ya kutaka namba D angalia hyo namba ina muda gani mtaan mpaka sasa
Kibongo bongo uimara wa gari unaangaliwa namba ya usajili ambayo ni current na Mile age iliyo chini...[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787]
Ndiyo maana vijana wetu hawa wakishaajiriwa tu benki, hamalizi miezi sita, utasikia nataka IST namba D..
Wanaliwa hawa..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Aina gani ya oil?Why 3000km, weka oil ya 9000km
Ndio kuna namba dga imesajiliwa novemba 2015. Fikiria T 1O1 DAA ILIKUWA LINI?sorry hv mwaka 2015 hapa bongo usajili wa magar ulikuwa ushafika namba D?
Ukiwa dereva mzoefu huhitaji fundi, gari ukiendesha huwa linaongea hali yake lenyewe.Nina kagari Toyota IST ambako kana namba CYZ jamaa mmoja alikuwa anakapenda haka kagari kutokana na condition yake.binafsi nlikanunua sababu ya mamsap baadaye akaja akawa anataka Crown "Toyota"
Kiukweli gari ipo vizuri imetembea kms 60000 plus.jamaa akaja nikamwonesha gari akakagua na kumta fundi wake mtalaam. Fundi akanishtua chamber kuwa yeye ntampa tsh ngap.nikamuuliza kwa kazi gani?yeye hakagui kwa niaba yangu.so why nimlipe?akadai ili jamaa anunue anahitaji maoni yake.nlimkatalia.
Wakaondoka jamaa hakusikika tena kuzungumzia gari.bahati nzuri ni workmate wangu after a week namwona ana IST namba DPU.sikumuuliza kitu.
But nlishangaa mlio wa ile gari na inatoa moshi kama gari moshi.unaweza sema ina smoke.week mbili anakuja job kwa daladala.akawa hasemi kitu ila maji yakazidi unga akaamua vunja ukimya. Kuwa fundi wake alimwambia ile gari yangu haifa namba C akampeleka kwa jamaa mwingine. Ile gari alinunua baada ya siku mbili ikawa haiwaki.akampigia muuzaji.muuzaji akamtumia namba ya simu ya umeme wa magari,gear box na fundi wa engine.
Yaani alimuuzia gari na kumkabidhi namba za mafundi.kigari kinapiga kelele.,kinavibrate...kama kina majini sometime kinajiongeza speed chenyewe.hapo kama kimefurahi
Kikiudhika kinajishusha speed unakanyaga mafuta mpaka mwisho kinakuwa hakitaki kwenda...hapo kimeamua kususa.mimi gari yangu nafanya service tu sijawahi gusa engine wla gearbox.
Jamaa kaenda nunua plate number kigari kinamtesa balaaa...kauziwa gari na kupewa namba za mafundi kakikata umeme anaitwa fundi wa umeme.kakigoma kuingia gear anaitwa wa gearbox n.k
Wadau mnapununua magari zingatieni ubora wa gari siyo plate namba.pateni mafundi wastaarabu na wa kweli siyo fundi dalali.
Ndio kuna namba dga imesajiliwa novemba 2015. Fikiria T 1O1 DAA ILIKUWA LINI?
Mimi nina namba C na AHahahah. Pole yake. Hizo shida za engine mm naweza kumrekebishia. Nampimia engine management sensors zote kama zinafanya kazi vile inavotakiwa
Inategemea na hali ya gariMkuu lakini Ds ina raha yake [emoji38][emoji38]
duh noumer!!Ndio kuna namba dga imesajiliwa novemba 2015. Fikiria T 1O1 DAA ILIKUWA LINI?
Inategemea na aina ya gariMimi nina namba C na A
Lakini namba A ninamheshimu kuliko gari ya D.
Miaka 4 lkn sijawahi kufanya service kubwa zaidi ya kumwaga oil na kubadili tairi tena mara moja tu.
Ukinunua tairi mpya unajua unapiga muda wa kutosha.
Ninapasua tope, milima na mabonde A anacheka tu na hatujui kukwama ni msumari wa moto
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Naam, siongelei haya maboxInategemea na aina ya gari
🤣🤣🤣Kikiudhika kinajishusha speed unakanyaga mafuta mpaka mwisho kinakuwa hakitaki kwenda...hapo kimeamua kususa