Kitu gani kinacho zuia kilichotokea NEPAL kisitokee Tanzania?Naomba kuwatoa hofu majanga ya Nepal hayawezi kutokea Tanzania.
Kitu gani kinacho zuia kilichotokea NEPAL kisitokee Tanzania?
Hawa hawajawahi kusikia kitu chochote mpaka wafe kwanza na waanze kuililia serikali kwamba hawana pa kulala mvua imekunywa nyumba zao zotewadau mnaoishi kwenye mabonde na vichochoroni ndanindani mvua kubwa zaja wakuu.
Hayawezo tokea mkuu.Hellow wana JF.
Watu wengi wanahofu dhidi ya matangazo mbalimbali yanayo endelea huko mitandaoni kuhusu majanga ya asili yanayoweza kutokea wakati wa mvua za El nino.
Naomba kuwatoa hofu majanga ya Nepal hayawezi kutokea Tanzania.
Pia naomba kuwakumbusha pia wadau mnaoishi kwenye mabonde na vichochoroni ndanindani mvua kubwa zaja wakuu.
However kama unatafuta nyumba ya kupanga kipindi hiki zingatia sana location usije ukapanga madibwini utaogelea sana.
View attachment 3663780
Una uhakika hii mibwawa iliyojengwa kibabe bila kuangakia environmental assesment studies haiwezi kutapika maji mpaka kukatokea mafuriko?Hellow wana JF.
Watu wengi wanahofu dhidi ya matangazo mbalimbali yanayo endelea huko mitandaoni kuhusu majanga ya asili yanayoweza kutokea wakati wa mvua za El nino.
Naomba kuwatoa hofu majanga ya Nepal hayawezi kutokea Tanzania.
Pia naomba kuwakumbusha pia wadau mnaoishi kwenye mabonde na vichochoroni ndanindani mvua kubwa zaja wakuu.
However kama unatafuta nyumba ya kupanga kipindi hiki zingatia sana location usije ukapanga madibwini utaogelea sana.
View attachment 3663780
Haya mafuriko yanakuja kuisomba roho ya samia na wauaji wenzake woteHellow wana JF.
Watu wengi wanahofu dhidi ya matangazo mbalimbali yanayo endelea huko mitandaoni kuhusu majanga ya asili yanayoweza kutokea wakati wa mvua za El nino.
Naomba kuwatoa hofu majanga ya Nepal hayawezi kutokea Tanzania.
Pia naomba kuwakumbusha pia wadau mnaoishi kwenye mabonde na vichochoroni ndanindani mvua kubwa zaja wakuu.
However kama unatafuta nyumba ya kupanga kipindi hiki zingatia sana location usije ukapanga madibwini utaogelea sana.
View attachment 3663780
Ni changamoto ya muda mrefu sana.Hawa hawajawahi kusikia kitu chochote mpaka wafe kwanza na waanze kuililia serikali kwamba hawana pa kulala mvua imekunywa nyumba zao zote
Muda utaongea mkuu.Hilo limvua nalisubiria kwa hamu nilione litakachowafanya watu fulani fulani mimi nawachora tu tena wengine ndio wanazidi kujenga kwenye eneo la mto fulani wanalaza tofali km wanajenga kanisa eti nyumba hata ikipigwa na maji isibomoke ngoja tuone unajenga katikati ya mto halafu unasubiri maji ya mvua yakuchekee utapanda ulichovuna