Msiogope, Majanga ya NEPAL hayawezi kutokea Tanzania

Hapa ulikuwa unamaanisha nini?
Nilikuwa namaanisha El nino na majanga yaliyo tokea Nepal ni vitu viwili tofauti kabisa ingawa yote yatakuwa ni majanga so watu wasiwe na wasiwasi.

Pia nimeweka na video kuonesha utofauti wa majanga hayo.
 
Tatizo unajiita "fact only" halafu badala ya kuangalia fact unaangalia personalities.

Kutoka lilipo bwawa kuja na mto sehemu kubwa ni mabondeni, watu walijua kuishi na mafuriko vizuri tu, ila bwawa limeongeza maafa mafuriko yamefika mpaka Muhoro.

Baada ya bwawa kujengwa maafa ya mafuriko yameongezeka, wakati moja ya point kubwa ya kujenga bwawa, licha ya kufua umeme, ilikuwa ni ku control maji yasilete mafuriko.

Jielimishe kwanza kabla ya kurukia habari kwa hisia tu.
Mkuu wewe ndiyo unaleta hisia.

Mimi nimekubali facts zako kutokana na tathmini zako ulizo elezea vizuri. Lakini swali langu ni kwamba wewe unaamini uko vizuri kuzidi wengine walio fanya evaluation ya ujenzi wa mabwawa hayo?(sasa baada ujibu swali unaanza kusema mambo ya hisia Mkuu).
 
Watu wamejenga hadi kwenye njia za maji, mvua ikinyesha kubwa na ikaleta athari tunataka Serikali itulipe na kutupatia msaada pia.
Mkuu umeongea point kubwa sana .

Watu kila siku wanazidi kujenga na kununua viwanja mabondeni alafu mvua zikinyesha nyingi vilio vinaanza.
 
Mkuu wewe ndiyo unaleta hisia.

Mimi nimekubali facts zako kutokana na tathmini zako ulizo elezea vizuri. Lakini swali langu ni kwamba wewe unaamini uko vizuri kuzidi wengine walio fanya evaluation ya ujenzi wa mabwawa hayo?(sasa baada ujibu swali unaanza kusema mambo ya hisia Mkuu).
Kwanza kabisa hakuna facts zangu, kuna facts tu.

Pili, ukishaanza habari ya ku personalize hoja, habari za "wewe unaamini..." wakati hapa tuna deal na facts, sio imani, ndipo hapo unapoleta hisia.

Kwa sababu umeshindwa kujikita katika facts, unaangalia nani anayezitoa hizo facts.

Ad hominem logical fallacy.

Tatu, ungetaka facts ungejua bwawa lilijengwa kwa show ya kibabe na hizo environmental evaluations hazikufanywa kama unavyofikiri.
 
Hellow wana JF.

Watu wengi wanahofu dhidi ya matangazo mbalimbali yanayo endelea huko mitandaoni kuhusu majanga ya asili yanayoweza kutokea wakati wa mvua za El nino.

Naomba kuwatoa hofu majanga ya Nepal hayawezi kutokea Tanzania.

Pia naomba kuwakumbusha pia wadau mnaoishi kwenye mabonde na vichochoroni ndanindani mvua kubwa zaja wakuu.

However
kama unatafuta nyumba ya kupanga kipindi hiki zingatia sana location usije ukapanga madibwini utaogelea sana.
View attachment 3663780
OK. Wewe Unatutoa hofu kama nani mkuu?
 
Hawa hawajawahi kusikia kitu chochote mpaka wafe kwanza na waanze kuililia serikali kwamba hawana pa kulala mvua imekunywa nyumba zao zote
Naunga mkono hoja. Likisha tokea, Huwa wanailalamikia Serikali kana kwamba ni Serikali ndo imeileta hiyo El nino licha ya kwamba Serikali imeshatoa Taarifa ya Tahadhari na ni nini kifanyike kabla mambo hayajaharibika.
 
Una uhakika hii mibwawa iliyojengwa kibabe bila kuangakia environmental assesment studies haiwezi kutapika maji mpaka kukatokea mafuriko?

Unaelewa hilo bwawa la Julius Nyerere lishaleta mafuriko Rufiji huko watu wamepata mafuriko mpaka Muhoro?
You must be a genius,watu walidanganywa sana kuhusu hayo mafuriko ya bwawa.
 
Kwanza kabisa hakuna facts zangu, kuna facts tu.

Pili, ukishaanza habari ya ku personalize hoja, habari za "wewe unaamini..." wakati hapa tuna deal na facts, sio imani, ndipo hapo unapoleta hisia.

Kwa sababu umeshindwa kujikita katika facts, unaangalia nani anayezitoa hizo facts.

Ad hominem logical fallacy.

Tatu, ungetaka facts ungejua bwawa lilijengwa kwa show ya kibabe na hizo environmental evaluations hazikufanywa kama unavyofikiri.
Swali langu litakuwa lilelile kwako.

Mkuu ujue kabla ya ujenzi wa bwawa la umeme kuna wizara/idara lazima upite kwanza ndiyo upate kibali cha ujenzi huo.

Kwa hapa kwetu idara hizo nipamoja na hizi 👇.

● Energy and Power Authorities(Ministry of Energy. sets national policy, grants overall project authorization, and oversees power sector development. National Power Utility (TANESCO).

● Water and Environment Departments(Ministry of Water/Water Basin Boards, National Environmental Management Agency NEMA/NEMC).
● Land and Infrastructure Agencies(Ministry of Lands/Local Government, Civil and Geotechnical Engineering Regulators).

So hizo wizara/idara wewe unaamini hazijafanya evaluations yakinifu mpaka ujenzi ule ukafanyika?
 
Mmmmm!! Lakini Wote hao si waBongo? Wewe ni mgeni kwa waBongo???
 
Mkuu umeongea point kubwa sana .

Watu kila siku wanazidi kujenga na kununua viwanja mabondeni alafu mvua zikinyesha nyingi vilio vinaanza.
Kuna mdogo wangu alikuwa anahitaji kiwanja, nikamshauri asubiri msimu wa mvua (masika) ndo ananunue, lakini namuona anazidi kukaza fuvu.

Kipindi cha mvua ni mda wa kuona mkondo wa maji unapita wapi na wapi panastahili.
 
Kama Raia mwema mkuu.

Lakini kama ukitaka kufa huko vichochoroni au mabondeni basi kufa na ufe mkuu.
Sasa ni raia mwema gani anayesema tena kama ni kufa na ufe mkuu?
Nashukuru umekuwa Raia mwema lakini kichwa cha mada kinaashiria watu wajiachie tu wasihangaike kwa hofu ya kile kinachosemwa kinakuja mbeleni.
 
Kuna mdogo wangu alikuwa anahitaji kiwanja, nikamshauri asubiri msimu wa mvua (masika) ndo ananunue, lakini namuona anazidi kukaza fuvu.

Kipindi cha mvua ni mda wa kuona mkondo wa maji unapita wapi na wapi panastahili.
"Mkataa pema pabaya panamwita". Muonye kwa mara ya mwisho au tayari ameshayakanyaga?
 
Naunga mkono hoja. Likisha tokea, Huwa wanailalamikia Serikali kana kwamba ni Serikali ndo imeileta hiyo El nino licha ya kwamba Serikali imeshatoa Taarifa ya Tahadhari na ni nini kifanyike kabla mambo hayajaharibika.
Ikipiga mvua kwelikweli maafa yatakuwa mengi sana ujenzi wa hovyohovyo umezidi Tanzania.
 
Kuna mdogo wangu alikuwa anahitaji kiwanja, nikamshauri asubiri msimu wa mvua (masika) ndo ananunue, lakini namuona anazidi kukaza fuvu.

Kipindi cha mvua ni mda wa kuona mkondo wa maji unapita wapi na wapi panastahili.
Kama umemshauri kakataa muache mkuu isije ikaonekana unapinga maendeleo.
 
Sasa ni raia mwema gani anayesema tena kama ni kufa na ufe mkuu?
Nashukuru umekuwa Raia mwema lakini kichwa cha mada kinaashiria watu wajiachie tu wasihangaike kwa hofu ya kile kinachosemwa kinakuja mbeleni.
Mkuu unanichekesha sana inaonekana unapenda sana mabishano.

Wapi nimesema watu wajiachie ?
 
Back
Top Bottom