Msiogope, Majanga ya NEPAL hayawezi kutokea Tanzania

Nikweli mimi sijaona hata wewe pia haujaona kama umeona naomba pdf hapa.
Wewe hata huelewi kati ya anayesema environmental assesment imefanyika, na anayebisha, nani ana burden of proof ya kuionesha.

Huelewi jambo jili dogo kabisa la kimantiki.

Ndiyo maana hatuwezi kuelewana.
 
Mafuriko ya Nepal hayajatokana na mvua bali ni kuporomoka kwa milima ya barafu ya himalaya.
Mkuu watu vichwa vyao vizito.

Nimewawekea na video lakini bado wanauliza vitu vyepesi vyepesi.

Kwani tatizo nini, kwamba
Kwenu nyinyi majanga yote ya asili hayana maana ila janga ni pande la Barafu lililokatika na kuzoa vijiji?

Hamkuwahi kusikia kuwa wakati wa mvua kubwa milima ya Uluguru huwa inakatika na kusomba makazi pamoja watu wake?

Hamkusikia yaliyotokea juzi juzi Same na Hanang ambapo Milima ilikatika na kumwaga matope yaliyo funika na kusomba watu na nyumba zao?
Tofauti pekee ni idadi ya watu lakini madhara ni yale yale.

Ndugu zangu dhoruba (storm) inaweza kuletwa na upepo, radi, mvua au hata yale yaliyotokea NEPAL.
Yote ni majanga ya asili.
 
Swali langu litakuwa lilelile kwako.

Mkuu ujue kabla ya ujenzi wa bwawa la umeme kuna wizara/idara lazima upite kwanza ndiyo upate kibali cha ujenzi huo.

Kwa hapa kwetu idara hizo nipamoja na hizi 👇.

● Energy and Power Authorities(Ministry of Energy. sets national policy, grants overall project authorization, and oversees power sector development. National Power Utility (TANESCO).

● Water and Environment Departments(Ministry of Water/Water Basin Boards, National Environmental Management Agency NEMA/NEMC).
● Land and Infrastructure Agencies(Ministry of Lands/Local Government, Civil and Geotechnical Engineering Regulators).

So hizo wizara/idara wewe unaamini hazijafanya evaluations yakinifu mpaka ujenzi ule ukafanyika?
Hizi wizara zote zilipewa amri moja tu, toka ofisi kuu.
 
Wewe hata huelewi kati ya anayesema environmental assesment imefanyika, na anayebisha, nani ana burden of proof ya kuionesha.

Huelewi jambo jili dogo kabisa la kimantiki.

Ndiyo maana hatuwezi kuelewana.
😀 Kiranga acha ukiranga Mkuu.

Mimi sina proof naomba proof yako wewe ya environmental assessment iliyofanyika mpaka ukaona hii sio sawa naomba uweke pdf hapa na mimi nipitie.
 
Kwani tatizo nini, kwamba
Kwenu nyinyi majanga yote ya asili hayana maana ila janga ni pande la Barafu lililokatika na kuzoa vijiji?

Hamkuwahi kusikia kuwa wakati wa mvua kubwa milima ya Uluguru huwa inakatika na kusomba makazi pamoja watu wake?

Hamkusikia yaliyotokea juzi juzi Same na Hanang ambapo Milima ilikatika na kumwaga matope yaliyo funika na kusomba watu na nyumba zao?
Tofauti pekee ni idadi ya watu lakini madhara ni yale yale.

Ndugu zangu dhoruba (storm) inaweza kuletwa na upepo, radi, mvua au hata yale yaliyotokea NEPAL.
Yote ni majanga ya asili.
Mkuu mbona tumetoa tahadhari katika maana uliyo ielezea wewe sema katika mlengo wa utofauti.
 
😀 Kiranga acha ukiranga Mkuu.

Mimi sina proof naomba proof yako wewe ya environmental assessment iliyofanyika mpaka ukaona hii sio sawa naomba uweke pdf hapa na mimi nipitie.
Naandika mambo ambayo huyaelewi.

Ndiyo maana hatuelewani.

Mwenye mzigo wa kutoa proof ni anayesema kitu kipo, si anayebisha.

Unaelewa hili jambo la msingi kabisa katika falsafa ya proof?

Unaelewa polisi wakija kwako na kusema una madawa ya kulevya, wao ndio wanatakiwa kufanya msako mpaka wayapate, wewe unayesema huna madawa ya kulevya hupewi mzigo wa kuthibitisha huna hayo madawa?
 
Mkuu kama na wewe hauna pdf basi hauna proof kama unaona mimi sina proof then proof wewe kwa utetezi/madai yako uliyo yatoa.

Kama hauna proof usiseme kuwa wajenzi wa bwawa lile hawakuzingatia vigezo vya ujenzi ule bila kuleta proof hapa.
 
Kwanza kabisa, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, na upendo wote, aliyeumba ulimwengu, huyo kuna proof kwamba hayupo.

Epicurean paradox.

Lakini najua huijui. Kwa sababu hujasoma.
 
😀 Mkuu unanichekesha sana.
 
😀 Mkuu unanichekesha sana.

Nimekuchanganya kwenye mazungumzo ya proof tofauti, kumradhi.

Lakini bado hujajibu.

Umeelewa kuwa anayesema environmental assesment ipo ndiye anatakiwa kutoa proof kuwa ipo?

Anayebisha hana mzigo wa kutoa proof kwamba haipo.

Na kama haipo inawezekana akashindwa kutoa proof kwamba haipo, kwa sababu haipo, atatoaje proof kwamba haipo wakati proof inatolewa kwa kitu kilichopo?

Kutoa oroof kuwa kitu hakipo ni sawa na kutoa alama za vidole za mwizi ambaye hayupo.

Unanitaka nitoe alama za vidole za mwizi ambaye nasema hayupo.

Umeelewa hiyo hoja?
 
😀 Mkuu Mungu akuepushe usije kuwa mwanasiasa utapoteza watu saaana.
 
Kwanza Mungu hayupo, kwa hiyo hawezi kuniepusha na chochote.

Pili mimi nilianza kutembea korido za Ikulu tangu nipo tumboni mwa mama yangu, lakini nilikataa kuwa mwanasiasa.

Tatu, hii ni distraction haina uhusiano na hoja za msingi hapa.

Umeelewa hoja kuwa anayesema kitu kipo ndiye mwenye mzigo wa kuthibitisha hicho kitu kipo?

Au hata kanunii hii ya msingi ya mantiki imekupita kimo?
 
Mkuu mimi ndiyo kimo chenyewe ambacho wewe hauwezi hata kukichungulia.
 
Wewe una matatizo ya ego.

Mpaka nikikuambia kitu ambacho hakina ubishi, kuhusu burden of proof inakuwa wapi kati ya anayesema kitu kipo na anayepinga, ego yako inakufanya kipofu usikubali ukweli wa kimantiki ambao ni mtu mjinga tu anaweza kuupinga.

You are allowed to be loud, because perhaps you are loud and sensible. Maybe we can overlook your loudness and gain sonething.

You are allowed to be stupid, because perhaps you are stupid and humble. We can't judge you for stupidity if your humility does not call for it.

But you are not allowed to be loud and stupid at the same time.

You are being loud and stupid.
 
Mkuu unaandika sana alafu Garbage unazungumzia ego and stupidity 😀 hivyo vyote na zaidi unavyo wewe(naona unajigamba/unashambulia baada ya kuleta proof hapa, mara ujigambe ohooo nilikaa na J.Makamba akasema hivi na vile, mara umezaliwa ikulu na blablablaablaaa kibao ambazo me sijakuuliza wala sihitaji kujua).

Nikikwambia ulete proof ya mazungumzo yako na J.Makamba but also ulete proof ya wewe kuzaliwa na kucheza ikulu(utaanza kuleta blablablablablaaa zako).

Nilikwambia Before Kiranga acha ukiranga Mkuu.

Umesema mimi sina proof so naomba proof yako wewe ya environmental assessment iliyofanyika mpaka ukaona hii sio sawa naomba uweke pdf hapa na mimi nipitie sio unaandika vitu ambavyo havipo blablablablablaaa kibao.
 
Back
Top Bottom