Msiogope, Majanga ya NEPAL hayawezi kutokea Tanzania

Hapo kwenye siasa ndiyo panatumaliza sana mkuu.

Kwenye issue ya kitaifa watu wanaleta siasa.
Ni afadhali wangelileta siasa halafu wakaishia hapo. Lakini wameenda mbali zaidi cku za karibuni-ukihoji unapotezwa chap'
 
Nepal haikuwa mvua ya El-Nino usipotoshe watu wala haikuwa mvua kabisa
Ni milima ya barafu iliyoyeyuka kwa ajili ya joto na kusababisha madhara ni Himalayan glacier
😀 Mkuu sijui umetoka usingizini wapi nimesema ni El nino?
 
yanayoweza kutokea wakati wa mvua za El nino.

Naomba kuwatoa hofu majanga ya Nepal hayawezi kutokea Tanzania.

Labda nimekosea kusoma vizuri na ndio nimeamka 😆😆
 
jografia ya nepal sio poa kule sehemu kubwa ya ardhi ni miinuko milima mirefu mabonde kumbuka mlima everest ambao ndio moima mrefu sana duniani safu ile inapatikana nepal kule sio poa
Nepal watu wengi nyumba zao zipo mabondeni chini ya milima.
 
Ni afadhali wangelileta siasa halafu wakaishia hapo. Lakini wameenda mbali zaidi cku za karibuni-ukihoji unapotezwa chap'
Hili nalo nitatizo kubwa sana litatutafuna sana.
 
yanayoweza kutokea wakati wa mvua za El nino.

Naomba kuwatoa hofu majanga ya Nepal hayawezi kutokea Tanzania.

Labda nimekosea kusoma vizuri na ndio nimeamka 😆😆
Mkuu sasa hapo si nimepinga kwamba ya Nepal hayawezi kutokea Tanzania kwasababu ni issue mbili tofauti .
 
Mkuu kumbe na wewe unaandika kwa sababu January alisema sio kwamba wewe ulijionea mwenyewe na kupitia hizo data.
Wewe umetaja kuna wizara, nimekujibu kwamba huyo waziri mwenyewe alikuwa anafanya maamuzi kwa amri kutoka juu, hizo environmental assesment papers anasema alizipitisha kwa kulazimishwa.

Huelewi wapi kuwa huna wizara kihivyo kama unavyofikiri na mambo yanaendeshwa kwa amri kutika juu tu?

Au unataka kuleta ubishi wa kiutamaduni na jadi wa Kitanzania tu?
 
jografia ya nepal sio poa kule sehemu kubwa ya ardhi ni miinuko milima mirefu mabonde kumbuka mlima everest ambao ndio moima mrefu sana duniani safu ile inapatikana nepal kule sio poa

Mkuu ni kweli Tanzania haina safu za milima yenye magenge marefu ( gorge) kama ile ya Himalaya.

Hata hivyo usisahau kuwa hii ni El Nino, mvua kubwa, upepo mkali na radi.
Milima itaporomoka,( Morogoro, Same na Manyara milima iliwahi kukatika), miti itaanguka, mito itafurika na maji yatafika maeneo ambayo hajawahi kufika.

Ni kweli Kutakuwa na tofauti ya spidi ya maji, haiwezi kuwa kama ile ya NEPAL lakini tusipochukua tahadhari tutapoteza watu wengi ingawa tunaweza kupishana namba na NEPAL
Pia usisahau Mafuriko yote yanayopita Tanzania huwa yanatuachia vilio.

Kwa mfano Mjini Kigoma tayari barabara kutoka Mwanga kwenda uwanja wa ndege muda sasa haipitiki, maji yamefunika eneo la Katubuka, barabara na nyumba vimezama.
Hatujajua hali itakuwaje eneo hilo baada ya El Nino.

Jijini Dar es salaam kuna nyumba nyingi zimejengwa bondeni.
Mara zote wenzetu wa maeneo hayo wameathrika.
Mifereji ya majitaka kwenye miji mikubwa kama Dar imejaa uchafu hivyo ni rahisi pia maji kubadirisha njia kwenda kwenye makazi ya watu.

Ili tuepuke majanga kama ya Nepal tuchukue hatua na si maneno matupu kwa kuwa Tanzania hakuna milima ya Barafu.
 
Wewe umetaja kuna wizara, nimekujibu kwamba huyo waziri mwenyewe alikuwa anafanya maamuzi kwa amri kutoka juu, hizo environmental assesment papers anasema alizipitisha kwa kulazimishwa.

Huelewi wapi kuwa huna wizara kihivyo kama unavyofikiri na mambo yanaendeshwa kwa amri kutika juu tu?

Au unataka kuleta ubishi wa kiutamaduni na jadi wa Kitanzania tu?
Evaluations zikifanyika kwa usahihi alafu wanasiasa wakaleta siasa kwenye mambo muhimu ya kitaifa hiyo haikubaliki.

January ilitakiwa amshitaki huyo aliye force mradi kwenye hamna kama nikweli.
 
Mkuu ni kweli Tanzania haina safu za milima yenye magenge marefu ( gorge) kama ile ya Himalaya.

Hata hivyo usisahau kuwa hii ni El Nino, mvua kubwa, upepo mkali na radi.
Milima itaporomoka,( Morogoro, Same na Manyara milima iliwahi kukatika), miti itaanguka, mito itafurika na maji yatafika maeneo ambayo hajawahi kufika.

Ni kweli Kutakuwa na tofauti ya spidi ya maji, haiwezi kuwa kama ile ya NEPAL lakini tusipochukua tahadhari tutapoteza watu wengi ingawa tunaweza kupishana namba na NEPAL
Pia usisahau Mafuriko yote yanayopita Tanzania huwa yanatuachia vilio.

Kwa mfano Mjini Kigoma tayari barabara kutoka Mwanga kwenda uwanja wa ndege muda sasa haipitiki, maji yamefunika eneo la Katubuka, barabara na nyumba vimezama.
Hatujajua hali itakuwaje eneo hilo baada ya El Nino.

Jijini Dar es salaam kuna nyumba nyingi zimejengwa bondeni.
Mara zote wenzetu wa maeneo hayo wameathrika.
Mifereji ya majitaka kwenye miji mikubwa kama Dar imejaa uchafu hivyo ni rahisi pia maji kubadirisha njia kwenda kwenye makazi ya watu.

Ili tuepuke majanga kama ya Nepal tuchukue hatua na si maneno matupu kwa kuwa Tanzania hakuna milima ya Barafu.
Makala nzuri kweli hii lakini nasikitika kusema kwamba tumesha chelewa.
 
Evaluations zikifanyika kwa usahihi alafu wanasiasa wakaleta siasa kwenye mambo muhimu ya kitaifa hiyo haikubaliki.

January ilitakiwa amshitaki huyo aliye force mradi kwenye hamna kama nikweli.

Unahakikisha vipi evaluations zimefanyika kwa usahihi?

Hiyo evaluation unaitaja tu, nimekuambia uilete hapa tuichambue umeshindwa.

Unakwenda kwa imani imani tu wakati jina lako ni "fact only".

Utetezi wako wewe ni kwamba kuna watu wameangalia, kitu ambacho wewe hujakiona.
 
Nikweli mimi sijaona hata wewe pia haujaona kama umeona naomba pdf hapa.
 
Back
Top Bottom