Msiogope, Majanga ya NEPAL hayawezi kutokea Tanzania

Una uhakika hii mibwawa iliyojengwa kibabe bila kuangakia environmental assesment studies haiwezi kutapika maji mpaka kukatokea mafuriko?

Unaelewa hilo bwawa la Julius Nyerere lishaleta mafuriko Rufiji huko watu wamepata mafuriko mpaka Muhoro?
Mkuu naamini kuna wajuzi wa viwango vya juu walifanya tafiti yakinifu kabla ya ujenzi wa mabwawa hayo.
 
Hellow wana JF.

Watu wengi wanahofu dhidi ya matangazo mbalimbali yanayo endelea huko mitandaoni kuhusu majanga ya asili yanayoweza kutokea wakati wa mvua za El nino.

Naomba kuwatoa hofu majanga ya Nepal hayawezi kutokea Tanzania.

Pia naomba kuwakumbusha pia wadau mnaoishi kwenye mabonde na vichochoroni ndanindani mvua kubwa zaja wakuu.

However
kama unatafuta nyumba ya kupanga kipindi hiki zingatia sana location usije ukapanga madibwini utaogelea sana.
View attachment 3663780
Ungeelezea source ya maporomoko ya Nepal ni kuvunjika kwa miamba mikubwa ya barafu inayohusishwa na tetemeko la ardhi na ile sio Elnino pia ungetofautisha na kile kilichotokea China uzi ungekaa vozuri.
 
Mbona nimemaliza kila kitu hapo Mkuu.

Au haujaona video?
 
Mtu anayenunua kiwanja bondeni na kupewa hati miliki huwa inakuaje kuaje wakuu yaani mtu anaishi bonde la msimbazi nyumba yake inaangalia calvat jipya la mto msimbazi kigogo 😳😄😄😄
 
Mafuriko ya Nepal hayajatokana na mvua bali ni kuporomoka kwa milima ya barafu ya himalaya.
Nilikuwa nataka kuandika hiki kitu ila nashukuru nimewahi kuisoma hii post yako mkuu. Huyu jamaa mleta mada kakurupuka tu kwasababu amepata taarifa kuwa mwaka huu kutakuwa na mvua kubwa na bila kufikiria akalichukulia tukio la Nepal ni sawa na tahadhari iliyotolewa hapa nchini bila kuzingatia tofauti ya geographical position.
What a hilarious 🫣
 
Mkuu unajua unaweza ukawa unamcheka mtu ambaye inabidi akucheke wewe kwa ujinga wako.

Mimi sijasema mvuaa za El Nino zitaleta ya Nepal ndiyo maana nimewatoa wadau hofu wasiwaze kabisa ya Nepal.
 
Tatizo unaamini, katika mambo yanayohitaji ujuzi.
Kwahiyo unataka kusemaje mkuu.

Wewe nibora sana katika hilo au ujuzi wako unaona ungefaa katika mabwawa hayo na sio wengine?
 
Mtu anayenunua kiwanja bondeni na kupewa hati miliki huwa inakuaje kuaje wakuu yaani mtu anaishi bonde la msimbazi nyumba yake inaangalia calvat jipya la mto msimbazi kigogo 😳😄😄😄
😀 Mkuu Bei chee Bei chee zinawamaliza waswahili.
 
Kwahiyo unataka kusemaje mkuu.

Wewe nibora sana katika hilo au ujuzi wako unaona ungefaa katika mabwawa hayo na sio wengine?
Non sequitur logical fallacy.

Strawman argument fallacy.

Nataka kusema mafuriko yakishatokea Rufiji baada ya hilo bwawa kujengwa na hivyo usijiridhishe sana kwamba hayawezi kutokea tena.

Kama jina lako ni "fact only" na unaelewa maana ya "fact only" elewa hilo angalau.
 
Mkuu kwa namna unavyo wakosoa walioshiriki katika ujenzi wa mabwawa hayo na kuonesha wewe ni zaidi yao ni vizuri kama kweli uko vizuri kuwazidi wao, kama upo vizuri na hauonekani basi utakuwa nafaida siku za mbeleni katika taifa hili.

Kuhusu mafuriko kama ukinunua na kujenga mabondeni kwa uamuzi wako mwenyewe usitake mwingine aje kuwajibika tena kwa lawama kubwa kwa uamuzi wako mwenyewe.
 
Mkuu unajua unaweza ukawa unamcheka mtu ambaye inabidi akucheke wewe kwa ujinga wako.

Mimi sijasema mvuaa za El Nino zitaleta ya Nepal ndiyo maana nimewatoa wadau hofu wasiwaze kabisa ya Nepal.
Hellow wana JF.

Watu wengi wanahofu dhidi ya matangazo mbalimbali yanayo endelea huko mitandaoni kuhusu majanga ya asili yanayoweza kutokea wakati wa mvua za El nino.
View attachment 3663780
Hapa ulikuwa unamaanisha nini?
 
Hellow wana JF.

Watu wengi wanahofu dhidi ya matangazo mbalimbali yanayo endelea huko mitandaoni kuhusu majanga ya asili yanayoweza kutokea wakati wa mvua za El nino.

Naomba kuwatoa hofu majanga ya Nepal hayawezi kutokea Tanzania.

Pia naomba kuwakumbusha pia wadau mnaoishi kwenye mabonde na vichochoroni ndanindani mvua kubwa zaja wakuu.

However
kama unatafuta nyumba ya kupanga kipindi hiki zingatia sana location usije ukapanga madibwini utaogelea sana.
View attachment 3663780
Ni sawa na yaliyotokea Manyara, tofauti ni viwango lakini kote watu walifukiwa na tope.
 
Mkuu kwa namna unavyo wakosoa walioshiriki katika ujenzi wa mabwawa hayo na kuonesha wewe ni zaidi yao ni vizuri kama kweli uko vizuri kuwazidi wao, kama upo vizuri na hauonekani basi utakuwa nafaida siku za mbeleni katika taifa hili.

Kuhusu mafuriko kama ukinunua na kujenga mabondeni kwa uamuzi wako mwenyewe usitake mwingine aje kuwajibika tena kwa lawama kubwa kwa uamuzi wako mwenyewe.
Tatizo unajiita "fact only" halafu badala ya kuangalia fact unaangalia personalities.

Kutoka lilipo bwawa kuja na mto sehemu kubwa ni mabondeni, watu walijua kuishi na mafuriko vizuri tu, ila bwawa limeongeza maafa mafuriko yamefika mpaka Muhoro.

Baada ya bwawa kujengwa maafa ya mafuriko yameongezeka, wakati moja ya point kubwa ya kujenga bwawa, licha ya kufua umeme, ilikuwa ni ku control maji yasilete mafuriko.

Jielimishe kwanza kabla ya kurukia habari kwa hisia tu.
 
Watu wamejenga hadi kwenye njia za maji, mvua ikinyesha kubwa na ikaleta athari tunataka Serikali itulipe na kutupatia msaada pia.
 
Back
Top Bottom