Contraband
JF-Expert Member
- Nov 14, 2021
- 1,036
- 2,807
Uko sahihi, kuna mwanamke nilidate naye miaka kadhaa iliyopita, akawa ananiambia "Yaani kwa mambo unayonikosea, usingekuwa unajua kunifikisha ningeshakuacha siku nyingi."Mume wangu ashanipiga matukio lakini ile kufikishwwa kileleni jamani ni adimu sijawahi pata popote. Kwa hiyo najikuta mwaka wa 5 huu.
Usiwaone watu wapo kwenye mahusihano mabaya mbele ya macho yenu unamshauri mtu tokaa hapo ila wapi kuna kitu tu hakuelezi. Vitu vyenyewe ndio kama hivyo jamani.
Wasalaam wana MMU