Hivi karibuni mara kadhaa ninavyokuwa napokea pesa nyingi kutoka Bank (zile ambazo sio sealed) nikifika ofisini nakuta kuna pisi zinakua zinapungua
Mwanzo nilikuwa nikipata changamoto hii kwenye bundles za 10,000 na 5,000 ila karibuni hata hizi za 2,000 na 1,000
Rai yangu kwenu mnaopokea pesa nyingi kutoka Bank muwabe Bank tellers zile pesa ambazo wamepanga kukulipeni wazifungue wazipitishe kwenye mashine huku mkiwa mnaziona kama vile ambavyo tunavyowapelekea pesa wanazifungua na kuzihesabu mbele yetu.