Me nilkua na deposite nme toka nme hesabu vizuri kabsa na kiasi kipo kamili nafika ana sema ime pungua 30k na wakati wa kuhesabu mashine alikua kama ana ificha.Nilitaka kupigwa laki kadhaa yaani. Walinipa bk 5 Sitasahau i
Ule mchezo, cha ajabu risiti ya malipo waliandika sawa ila pesa nikapewa vibunda kadhaa halafu ilikuwa j mosi. Machale yalinicheza nikaingia sehemu nikahesabu nikagundua nimepigwa nakarud chap teller akakiri kuwa alikosea.
Sasa je ingepita siku nzima ingekuwaje ?
Je meneja wa bank a genitetea au angekuwa upande wa teller. Kumbika kamera huwa zinawarekodi wanapotoa pesa. Sasa zile kamera huwa zinamlinda na mteja ?
Wanakupa bk 5 kwa makusudi upate uvivu wa kuhesabu wakupige. Jamaa alitaka kunipiga laki kadhaa.
Halafu mashine ya kuhesabu wana itwist at an angle theta kiasi kwamba huwezi ona digit. Huo mchezo ulitaka kuchezwa na NBC teller.
Hela nilio make kwa miaka 2 walitaka kuiiba tena watu waLioaminiwa na nje kuna ulinzi wa kulinda pesa.
duhhSio kuhesabu tu hata kukuchomekea pesa bandia,nikiwa nasoma bibi alitoa 1.5M crdb kisha tukaenda deposit nmb na zile bank zinatizamana, kufika pale Mara tunaambiwa 20000 ni bandia tukachukua Ile pesa yote na kurudi pale crdb yule teller akasema yeye hajui,bibi akasema naomba nielekeze ofisi ya manager nikazunguze nae yule teller alitoka kule ndani faster na kuomba msamaha kwa bibi kisha akampa Ile alfu 20 tunaondoka
Miaka hiyo mingi kidogo iliyopita nilipigwa 20,000/= kutoka kwenye milioni mbili NBC Mbeya ile branch ya karibu na uwanja wa sokoine.Nilikuja kugundua kesho yake.maana niliona 20k inamisi wakati nalipia aset flan hiv.Nilitaka kupigwa laki kadhaa yaani. Walinipa bk 5 Sitasahau i
Ule mchezo, cha ajabu risiti ya malipo waliandika sawa ila pesa nikapewa vibunda kadhaa halafu ilikuwa j mosi. Machale yalinicheza nikaingia sehemu nikahesabu nikagundua nimepigwa nakarud chap teller akakiri kuwa alikosea.
Sasa je ingepita siku nzima ingekuwaje ?
Je meneja wa bank a genitetea au angekuwa upande wa teller. Kumbika kamera huwa zinawarekodi wanapotoa pesa. Sasa zile kamera huwa zinamlinda na mteja ?
Wanakupa bk 5 kwa makusudi upate uvivu wa kuhesabu wakupige. Jamaa alitaka kunipiga laki kadhaa.
Halafu mashine ya kuhesabu wana itwist at an angle theta kiasi kwamba huwezi ona digit. Huo mchezo ulitaka kuchezwa na NBC teller.
Hela nilio make kwa miaka 2 walitaka kuiiba tena watu waLioaminiwa na nje kuna ulinzi wa kulinda pesa.
Dah kuna Mfanyakazi mmoja (Mwanaume) wa CRDB Tawi la Tabata (Magengeni) alikuwa anatupiga sana. Katika kila milioni 1 anakupiga sh. 10,000. Siku hizi simwoni hapo Tabata Branch.Hivi karibuni mara kadhaa ninavyokuwa napokea pesa nyingi kutoka Bank (zile ambazo sio sealed) nikifika ofisini nakuta kuna pisi zinakua zinapungua
Mwanzo nilikuwa nikipata changamoto hii kwenye bundles za 10,000 na 5,000 ila karibuni hata hizi za 2,000 na 1,000
Rai yangu kwenu mnaopokea pesa nyingi kutoka Bank muwabe Bank tellers zile pesa ambazo wamepanga kukulipeni wazifungue wazipitishe kwenye mashine huku mkiwa mnaziona kama vile ambavyo tunavyowapelekea pesa wanazifungua na kuzihesabu mbele yetu.
Na kumletea noma ?Dah kuna Mfanyakazi mmoja (Mwanaume) wa CRDB Tawi la Tabata (Magengeni) alikuwa anatupiga sana. Katika kila milioni 1 anakupiga sh. 10,000. Siku hizi simwoni hapo Tabata Branch.
Kuna teller ni wezi hatari 🤣🤣🤣🤣Hivi karibuni mara kadhaa ninavyokuwa napokea pesa nyingi kutoka Bank (zile ambazo sio sealed) nikifika ofisini nakuta kuna pisi zinakua zinapungua