Msione uvivu kuhesabu fedha mnazolipwa na ‘Teller’ wa benki

Nilitoa pesa KCB buguruni ,sikuzigusa nikakuta 10,000

Hapo hapo buguruni sheli mble ya KCB bank kuna mpesa ndogo nilitoa pesa pia si kuouta 10,000
Hii tabia mbaya
Watu waridhike na wanachokipata kama unataka zaidi waende kuchimba dhahabu baharini
 
Hii imewahi nikuta mara 3.
Jana nimetoka kupata lalamiko kwa "chomachoma" mmoja hapa Newala ninayemtumia kukusanya korosho,kuwa kaka yake kapigwa 380,000 bandia kati ya 7 milioni aliyopewa.
 
Hiyo michezo ipo sana hela iliyoko kwenye bundle iliyo salama ni zile bundle za bulk na zenye sealed tu. Hizi za milioni moja moja wewe mwambie teller atoe rubber band apitishe kwenye mashine ukijifanya wa kishua utapigwa kila siku.
Wakati mwingine hata zile zenye seal wanapiga, mbinu wanayotumia ni kwamba wanachukua pencil ya round, inaingizwa katika ya noti, ina roll na noti moja halafu inavutwa. Mchezo kwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…