Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuo gani hicho kinachotoa vilaza kiasi hiki?Acha kukariri wewe me nishamaliza masomo chuo tangu 2018
We msukule wa Mwendazake kazi za kuosha vyombo, kufua, kupiga deki si kipaumbele cha kuoa..... muulize babu yako kipaumbele cha kuona ni nn....Nashangaa Sana vijana wenzangu ambao mnaogopa kuoa wanawake wa kileo wawasaidie kazi za home Kama vile kufua nguo ili nyie mpate muda wa kusaka hela huko kitaa mnafeli wapi ndugu zangu hivi kweli mtu mzima Kama wewe unakundula kudeki na kuosha masufuria...acheni zenu hizo ebu oeni huko Tena oeni wale watumishi wa serikali kabisa wawape challenge nyie si mnajifanya ma great thinker huku hamtaki kuja kula million Mia za mafao siku mkeo akistafu.