Msipende kujitafutia faraja humu kwa maamuzi mliofanya ya kutoa watoto English Elementaries na kuwapeleka kayumba. Hakika mna Inferiority complex

Eti shule ya msingi feza/Almuntaziri/Mzizima ni sawa na shule ya msingi msongola ndege, tandika primary school nk.
Usawa unakuja pale ambapo Kuna atakayeishia darasa la 7 nanjulili twendesote akatoboa maisha... Kifupi. Haitabiriki ila usimnyime mtt elimu ....
 
Nimesoma Shule za umma toka Primary Hadi University.Ni Master Tu ndiyo Nilifanya Private.Kuanza Kazi hasa private,NGO na GoT nikakutana na waliotoka special Schools.Kwa performance hakuna significant difference.Nilishakuwa boss wa baadhi ya Hao waliotoka special schools:Ukiacha Kingereza na utamaduni wa uzungu,Mengine ni ya kawaida.Watoto nimepeleka hizo special schools na magari ya Njano.Kwa Nchi yetu hatujafika Mahali pa kuiona hiyo tofauti kubwa ya kustahiki Malipo mara Kadhaa Kuliko public.Kwa hiyo binafsi special school mwisho la Saba,kisha anaingia public school Kiroho Safi.Nakumbuka niliingia F.5 (PCB) Public school,nkakutana na watt wa washua toka Dar,waliomaliza O Level zile shule za Kiingereza,Hadi unaogopa.Baada ya term ya kwanza Kwisha tukawa level.Kama watu wanatarajiwa kupambania Kazi za umma,hizi Ambazo nyaraka nyingi ni Kiswanglish,tumia pesa kwa Akili.Kama Unatarajia mwanao aingie Transnational Corps/Multinational Orgs,lipa.Kama mwanao ataingia kupambania machimbo ya Kariakoo,aende kokote Tu.Kuna dogo kamaliza F4 public school,anasubiri Majibu,Nimemwambia afanye field work Machimbo ya Kariakoo.Na ananiambia anaziona fursa za kutoboa.Akimaliza F6 nampeleka Field Mtwara kwenye Korosho ajifunze kuchabanga Korosho.Elimu inatakiwa ilete Majawabu ya Changamoto zetu.Hatuwezi kuendelea Kulipa gharama kubwa huku tunagombania remote na madogo na mipasho kwenye social media.
100% Fact.

Na mpira umekwisha.

Uzi ufungwe huu mkuu umemaliza kila kitu.
 
Yani unakuta mtu anakuja na theories sijui ame-google wapi, anaziunganisha unganisha ili tu muonekane mnaosomesha watu shule EMs ni maboya.

Hii yote ajipatie faraja kwa maamuzi magumu aliyoyafanya.

Anasahau kila mtu ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kuendana na uwezo wake.

Hakuna aliewahi kuja na nyuzi hapa kuponda wazazi wanaosemesha watoto magomboko praimari ila nyie kwa sababu mna hangaika na maamuzi yenu kutafuta validation basi mnaanza kuponda watu mkiwaita wanapoteza pesa. Mnawaita wapoteza pesa wakati nyie wenyewe mmepangishia milupo kila mitaa ya kati.

UMASIKINI SIO KUKOSA PESA TU.
Mkuu! Milupo ndo nini?
 
Naunga mkono hoja.

Mtu ana ukata umemchapa,analazimisha watu wote wawe kama yeye.

Kamwe Kayumba na EM haziwezi kufanana.

Walimu wenyewe wa hizo Kayumba watoto wao wanawapeleka EM halafu mtu anakuja huku kujifariji.

Mi ukiona mwanangu nimemuhamishia Kayumba ujue ukata umenipata na sio kwamba eti Kayumba kuna elimu iliyobora.

Laah hashaa
 
Hii mada nilikua naiangalia tu nafanya yangu lakini nilichokuja kugundua kikubwa kabisa,

UKATA

UKATA

UKATA

mtu kaanza kuziponda EMs baada ya mambo kumuendea mrama, itoshe kusema kama una uwezo wa Kayumba ni sawa kwako
Kama una uwezo wa Ems ni sawa pia na kama huna uwezo wa Ems na unajitutumua ni sawa na kongole kwako,

Upuuzi wenu pelekeni kwa wake zenu huko mnakuja humu kupima je uamuzi uliochukua kumuhamisha mtoto EMs ni sahihi kwa kuanzisha mada zenu kwani ulipompeleka mwanzo hukuangalia hizo sababu?

Hicho kilichokufanya umpeleke ni kwamba ulikua nazo na sasa huna ,tafuta pa kuponea

Kuna watu humu kumaliza laki tatu nne baa kila siku kitu cha kawaida unataka akasomeshe mwanae mtimbwani primary nafsi imsute?

We kama umemuhamisha mwanao ni maisha yako hayo usitake huruma huruma za watu ,
Hapa ukishaanza kuona ufagio wa nyumbani njiti zinapungua ujue mwanao huyo anaenda kufagia shule usiseme wachawi🤣🤣
 
Sijaona wavumbuzi wowote kutoka kwenye hizo shule, ila unaweza kutofautisha kuku wa kienyeji (shule za kawaida) na wakizungu (shule za kiingereza).
 
Nimesoma Shule za umma toka Primary Hadi University.Ni Master Tu ndiyo Nilifanya Private.Kuanza Kazi hasa private,NGO na GoT nikakutana na waliotoka special Schools.Kwa performance hakuna significant difference.Nilishakuwa boss wa baadhi ya Hao waliotoka special schools:Ukiacha Kingereza na utamaduni wa uzungu,Mengine ni ya kawaida.Watoto nimepeleka hizo special schools na magari ya Njano.Kwa Nchi yetu hatujafika Mahali pa kuiona hiyo tofauti kubwa ya kustahiki Malipo mara Kadhaa Kuliko public.Kwa hiyo binafsi special school mwisho la Saba,kisha anaingia public school Kiroho Safi.Nakumbuka niliingia F.5 (PCB) Public school,nkakutana na watt wa washua toka Dar,waliomaliza O Level zile shule za Kiingereza,Hadi unaogopa.Baada ya term ya kwanza Kwisha tukawa level.Kama watu wanatarajiwa kupambania Kazi za umma,hizi Ambazo nyaraka nyingi ni Kiswanglish,tumia pesa kwa Akili.Kama Unatarajia mwanao aingie Transnational Corps/Multinational Orgs,lipa.Kama mwanao ataingia kupambania machimbo ya Kariakoo,aende kokote Tu.Kuna dogo kamaliza F4 public school,anasubiri Majibu,Nimemwambia afanye field work Machimbo ya Kariakoo.Na ananiambia anaziona fursa za kutoboa.Akimaliza F6 nampeleka Field Mtwara kwenye Korosho ajifunze kuchabanga Korosho.Elimu inatakiwa ilete Majawabu ya Changamoto zetu.Hatuwezi kuendelea Kulipa gharama kubwa huku tunagombania remote na madogo na mipasho kwenye social media.
Bandiko lako limedhihirisha inferiority complex uliyonayo vis-à-vis wale waliosoma EM. "Ukiacha Kiingereza na utamaduni wa uzungu" yaani hapo unakubali kuzidiwa na una-admire superiority yao katika maeneo hayo.
 
Eti shule ya msingi feza/Almuntaziri/Mzizima ni sawa na shule ya msingi msongola ndege, tandika primary school nk.
Hizi ulizozitaja hapa sio English medium ni International schools.
So mwanao akisoma kwenye shule hizi anakutana na watoto wa mabalozi wa nchi mbalimbali,watoto wa akina Mo,Bakhresa,GSM so hapa automatically anakuwa ameshapata connection.
Na kitu kingine hizi shule zinakuwa na connection na vyuo maarufu vya nje so baada ya kumaliza sekondari kuna possibility ya kwenda kusoma vyuo vya nje directly.
So usifananishe na vishule uchwara vya English medium.
 
Sio inferiority complex bali ni kugutuka kutoka kwenye usingizi mzito; najua kwamba asilimia kubwa ya Watu wanaotoa watoto English Medium kuwarudisha saint kayumba maisha yanakuwa yameporomoka kidogo lakini tukumbuke mara nyingine inahitajika crisis ya aina hiyo kwa mtu kujitambua

Yaani unalipa ada ya tshs 2M mpaka 3M kwa mwaka ili mtoto aende kusoma shule ambayo ina:
1. Majengo mazuri
2. Inazingatia sana kumkaririsha mwanao majibu kwajili ya mitihani ya taifa
3. Inafundisha kimombo (ambacho kingepatikana English course kwa theluthi ya gharama)

Kiufupi, kama mwanao hasomi shule kama FEZA au International School of Tanganyika (ISJ) basi hizo ada zote unazochoma bila juhudi yako binafsi kama mzazi kuchochea utamaduni wa kujifunza kwa mtoto wako na drive yake mwenyewe basi kazi unayofanya ni bure; yaani bora usupplement elimu ya saint kayumba na tuition heavy afu hela iliyobaki nunua hata viwanja
 
Bora yako umenena ukweli. Mkuu

Watu wawe tu wawazi kuwa hali ni ngumu lakini sio kuwa maamuzi waliofanya ni bora kuliko yote
Naunga mkono hoja.

Mtu ana ukata umemchapa,analazimisha watu wote wawe kama yeye.

Kamwe Kayumba na EM haziwezi kufanana.

Walimu wenyewe wa hizo Kayumba watoto wao wanawapeleka EM halafu mtu anakuja huku kujifariji.

Mi ukiona mwanangu nimemuhamishia Kayumba ujue ukata umenipata na sio kwamba eti Kayumba kuna elimu iliyobora.

Laah hashaa
 
Huyo jamaa tulioanza kumsoma humu kitambo ni kwamba alianza kwa kulalamika amekosa nafasi,mara kuna rushwa shule ya serikali yenye mtaala wa kiingereza baada ya kufulia na kumtoa binti yake EM.

Kapata wafuasi hohehahe wenzie humu wanafarijiana ujinga kila siku!
Ahhaahha

Amepata maboya ambao hata wajawahi kushika pay slip ya ada

Ahahhaahh
 
Nimesoma Shule za umma toka Primary Hadi University.Ni Master Tu ndiyo Nilifanya Private.Kuanza Kazi hasa private,NGO na GoT nikakutana na waliotoka special Schools.Kwa performance hakuna significant difference.Nilishakuwa boss wa baadhi ya Hao waliotoka special schools:Ukiacha Kingereza na utamaduni wa uzungu,Mengine ni ya kawaida.Watoto nimepeleka hizo special schools na magari ya Njano.Kwa Nchi yetu hatujafika Mahali pa kuiona hiyo tofauti kubwa ya kustahiki Malipo mara Kadhaa Kuliko public.Kwa hiyo binafsi special school mwisho la Saba,kisha anaingia public school Kiroho Safi.Nakumbuka niliingia F.5 (PCB) Public school,nkakutana na watt wa washua toka Dar,waliomaliza O Level zile shule za Kiingereza,Hadi unaogopa.Baada ya term ya kwanza Kwisha tukawa level.Kama watu wanatarajiwa kupambania Kazi za umma,hizi Ambazo nyaraka nyingi ni Kiswanglish,tumia pesa kwa Akili.Kama Unatarajia mwanao aingie Transnational Corps/Multinational Orgs,lipa.Kama mwanao ataingia kupambania machimbo ya Kariakoo,aende kokote Tu.Kuna dogo kamaliza F4 public school,anasubiri Majibu,Nimemwambia afanye field work Machimbo ya Kariakoo.Na ananiambia anaziona fursa za kutoboa.Akimaliza F6 nampeleka Field Mtwara kwenye Korosho ajifunze kuchabanga Korosho.Elimu inatakiwa ilete Majawabu ya Changamoto zetu.Hatuwezi kuendelea Kulipa gharama kubwa huku tunagombania remote na madogo na mipasho kwenye social media.
Milioni Moja na nusu Hadi milioni mbili na nusu ni Hela kubwa Kwa mwaka?hiyo ni Hela ndogo sana sema tu watanzania wengi ni masikini sana wa kupindukia ndiyo maana wanaona hizi shule za EM ni gharama wakati hakuna.Zenye gharama ni International kama IST ambayo Kwa mwaka Huwa inafika Hadi milioni sabini
 
Wanataka faraja za watu Kila mtu na maamuzi yake na jins mfuko wake unavoongea
 
Yani unakuta mtu anakuja na theories sijui ame-google wapi, anaziunganisha unganisha ili tu muonekane mnaosomesha watu shule EMs ni maboya.

Hii yote ajipatie faraja kwa maamuzi magumu aliyoyafanya.

Anasahau kila mtu ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kuendana na uwezo wake.

Hakuna aliewahi kuja na nyuzi hapa kuponda wazazi wanaosemesha watoto magomboko praimari ila nyie kwa sababu mna hangaika na maamuzi yenu kutafuta validation basi mnaanza kuponda watu mkiwaita wanapoteza pesa. Mnawaita wapoteza pesa wakati nyie wenyewe mmepangishia milupo kila mitaa ya kati.

UMASIKINI SIO KUKOSA PESA TU.
Shifa Ni kwamba fainali kwenye ajira.... Ajira hiyo hiyo inapambaniwa Na waliosoma kayumba Na EMS Na wakipata ajira wote training Na mshahara wanalipwa Sawa ...Io ela ya kumpeleka EMS kheri ungemfungulia account umuwekee pesa then akija kujitambua afanye anachokipenda
 
Nimesoma Shule za umma toka Primary Hadi University.Ni Master Tu ndiyo Nilifanya Private.Kuanza Kazi hasa private,NGO na GoT nikakutana na waliotoka special Schools.Kwa performance hakuna significant difference.Nilishakuwa boss wa baadhi ya Hao waliotoka special schools:Ukiacha Kingereza na utamaduni wa uzungu,Mengine ni ya kawaida.Watoto nimepeleka hizo special schools na magari ya Njano.Kwa Nchi yetu hatujafika Mahali pa kuiona hiyo tofauti kubwa ya kustahiki Malipo mara Kadhaa Kuliko public.Kwa hiyo binafsi special school mwisho la Saba,kisha anaingia public school Kiroho Safi.Nakumbuka niliingia F.5 (PCB) Public school,nkakutana na watt wa washua toka Dar,waliomaliza O Level zile shule za Kiingereza,Hadi unaogopa.Baada ya term ya kwanza Kwisha tukawa level.Kama watu wanatarajiwa kupambania Kazi za umma,hizi Ambazo nyaraka nyingi ni Kiswanglish,tumia pesa kwa Akili.Kama Unatarajia mwanao aingie Transnational Corps/Multinational Orgs,lipa.Kama mwanao ataingia kupambania machimbo ya Kariakoo,aende kokote Tu.Kuna dogo kamaliza F4 public school,anasubiri Majibu,Nimemwambia afanye field work Machimbo ya Kariakoo.Na ananiambia anaziona fursa za kutoboa.Akimaliza F6 nampeleka Field Mtwara kwenye Korosho ajifunze kuchabanga Korosho.Elimu inatakiwa ilete Majawabu ya Changamoto zetu.Hatuwezi kuendelea Kulipa gharama kubwa huku tunagombania remote na madogo na mipasho kwenye social media.
Fact Mimi pia nimesoma government EMS walichokua wanatuzidi ni kingereza tu Na cha kuongea Sio cha darasani Na tulikua tunawaburuza Sana kwenye mitihani
 
Back
Top Bottom