Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usawa unakuja pale ambapo Kuna atakayeishia darasa la 7 nanjulili twendesote akatoboa maisha... Kifupi. Haitabiriki ila usimnyime mtt elimu ....Eti shule ya msingi feza/Almuntaziri/Mzizima ni sawa na shule ya msingi msongola ndege, tandika primary school nk.
100% Fact.Nimesoma Shule za umma toka Primary Hadi University.Ni Master Tu ndiyo Nilifanya Private.Kuanza Kazi hasa private,NGO na GoT nikakutana na waliotoka special Schools.Kwa performance hakuna significant difference.Nilishakuwa boss wa baadhi ya Hao waliotoka special schools:Ukiacha Kingereza na utamaduni wa uzungu,Mengine ni ya kawaida.Watoto nimepeleka hizo special schools na magari ya Njano.Kwa Nchi yetu hatujafika Mahali pa kuiona hiyo tofauti kubwa ya kustahiki Malipo mara Kadhaa Kuliko public.Kwa hiyo binafsi special school mwisho la Saba,kisha anaingia public school Kiroho Safi.Nakumbuka niliingia F.5 (PCB) Public school,nkakutana na watt wa washua toka Dar,waliomaliza O Level zile shule za Kiingereza,Hadi unaogopa.Baada ya term ya kwanza Kwisha tukawa level.Kama watu wanatarajiwa kupambania Kazi za umma,hizi Ambazo nyaraka nyingi ni Kiswanglish,tumia pesa kwa Akili.Kama Unatarajia mwanao aingie Transnational Corps/Multinational Orgs,lipa.Kama mwanao ataingia kupambania machimbo ya Kariakoo,aende kokote Tu.Kuna dogo kamaliza F4 public school,anasubiri Majibu,Nimemwambia afanye field work Machimbo ya Kariakoo.Na ananiambia anaziona fursa za kutoboa.Akimaliza F6 nampeleka Field Mtwara kwenye Korosho ajifunze kuchabanga Korosho.Elimu inatakiwa ilete Majawabu ya Changamoto zetu.Hatuwezi kuendelea Kulipa gharama kubwa huku tunagombania remote na madogo na mipasho kwenye social media.
Buhahahahahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣wasomesheni wakimaliza tuje tuwape boda za mikataba
Mkuu! Milupo ndo nini?Yani unakuta mtu anakuja na theories sijui ame-google wapi, anaziunganisha unganisha ili tu muonekane mnaosomesha watu shule EMs ni maboya.
Hii yote ajipatie faraja kwa maamuzi magumu aliyoyafanya.
Anasahau kila mtu ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kuendana na uwezo wake.
Hakuna aliewahi kuja na nyuzi hapa kuponda wazazi wanaosemesha watoto magomboko praimari ila nyie kwa sababu mna hangaika na maamuzi yenu kutafuta validation basi mnaanza kuponda watu mkiwaita wanapoteza pesa. Mnawaita wapoteza pesa wakati nyie wenyewe mmepangishia milupo kila mitaa ya kati.
UMASIKINI SIO KUKOSA PESA TU.
Bandiko lako limedhihirisha inferiority complex uliyonayo vis-à-vis wale waliosoma EM. "Ukiacha Kiingereza na utamaduni wa uzungu" yaani hapo unakubali kuzidiwa na una-admire superiority yao katika maeneo hayo.Nimesoma Shule za umma toka Primary Hadi University.Ni Master Tu ndiyo Nilifanya Private.Kuanza Kazi hasa private,NGO na GoT nikakutana na waliotoka special Schools.Kwa performance hakuna significant difference.Nilishakuwa boss wa baadhi ya Hao waliotoka special schools:Ukiacha Kingereza na utamaduni wa uzungu,Mengine ni ya kawaida.Watoto nimepeleka hizo special schools na magari ya Njano.Kwa Nchi yetu hatujafika Mahali pa kuiona hiyo tofauti kubwa ya kustahiki Malipo mara Kadhaa Kuliko public.Kwa hiyo binafsi special school mwisho la Saba,kisha anaingia public school Kiroho Safi.Nakumbuka niliingia F.5 (PCB) Public school,nkakutana na watt wa washua toka Dar,waliomaliza O Level zile shule za Kiingereza,Hadi unaogopa.Baada ya term ya kwanza Kwisha tukawa level.Kama watu wanatarajiwa kupambania Kazi za umma,hizi Ambazo nyaraka nyingi ni Kiswanglish,tumia pesa kwa Akili.Kama Unatarajia mwanao aingie Transnational Corps/Multinational Orgs,lipa.Kama mwanao ataingia kupambania machimbo ya Kariakoo,aende kokote Tu.Kuna dogo kamaliza F4 public school,anasubiri Majibu,Nimemwambia afanye field work Machimbo ya Kariakoo.Na ananiambia anaziona fursa za kutoboa.Akimaliza F6 nampeleka Field Mtwara kwenye Korosho ajifunze kuchabanga Korosho.Elimu inatakiwa ilete Majawabu ya Changamoto zetu.Hatuwezi kuendelea Kulipa gharama kubwa huku tunagombania remote na madogo na mipasho kwenye social media.
Hizi ulizozitaja hapa sio English medium ni International schools.Eti shule ya msingi feza/Almuntaziri/Mzizima ni sawa na shule ya msingi msongola ndege, tandika primary school nk.
Naunga mkono hoja.
Mtu ana ukata umemchapa,analazimisha watu wote wawe kama yeye.
Kamwe Kayumba na EM haziwezi kufanana.
Walimu wenyewe wa hizo Kayumba watoto wao wanawapeleka EM halafu mtu anakuja huku kujifariji.
Mi ukiona mwanangu nimemuhamishia Kayumba ujue ukata umenipata na sio kwamba eti Kayumba kuna elimu iliyobora.
Laah hashaa
Karibu mkuuNaunga mkono hojaaaaaa
AhhaahhaHuyo jamaa tulioanza kumsoma humu kitambo ni kwamba alianza kwa kulalamika amekosa nafasi,mara kuna rushwa shule ya serikali yenye mtaala wa kiingereza baada ya kufulia na kumtoa binti yake EM.
Kapata wafuasi hohehahe wenzie humu wanafarijiana ujinga kila siku!
Milioni Moja na nusu Hadi milioni mbili na nusu ni Hela kubwa Kwa mwaka?hiyo ni Hela ndogo sana sema tu watanzania wengi ni masikini sana wa kupindukia ndiyo maana wanaona hizi shule za EM ni gharama wakati hakuna.Zenye gharama ni International kama IST ambayo Kwa mwaka Huwa inafika Hadi milioni sabiniNimesoma Shule za umma toka Primary Hadi University.Ni Master Tu ndiyo Nilifanya Private.Kuanza Kazi hasa private,NGO na GoT nikakutana na waliotoka special Schools.Kwa performance hakuna significant difference.Nilishakuwa boss wa baadhi ya Hao waliotoka special schools:Ukiacha Kingereza na utamaduni wa uzungu,Mengine ni ya kawaida.Watoto nimepeleka hizo special schools na magari ya Njano.Kwa Nchi yetu hatujafika Mahali pa kuiona hiyo tofauti kubwa ya kustahiki Malipo mara Kadhaa Kuliko public.Kwa hiyo binafsi special school mwisho la Saba,kisha anaingia public school Kiroho Safi.Nakumbuka niliingia F.5 (PCB) Public school,nkakutana na watt wa washua toka Dar,waliomaliza O Level zile shule za Kiingereza,Hadi unaogopa.Baada ya term ya kwanza Kwisha tukawa level.Kama watu wanatarajiwa kupambania Kazi za umma,hizi Ambazo nyaraka nyingi ni Kiswanglish,tumia pesa kwa Akili.Kama Unatarajia mwanao aingie Transnational Corps/Multinational Orgs,lipa.Kama mwanao ataingia kupambania machimbo ya Kariakoo,aende kokote Tu.Kuna dogo kamaliza F4 public school,anasubiri Majibu,Nimemwambia afanye field work Machimbo ya Kariakoo.Na ananiambia anaziona fursa za kutoboa.Akimaliza F6 nampeleka Field Mtwara kwenye Korosho ajifunze kuchabanga Korosho.Elimu inatakiwa ilete Majawabu ya Changamoto zetu.Hatuwezi kuendelea Kulipa gharama kubwa huku tunagombania remote na madogo na mipasho kwenye social media.
Shifa Ni kwamba fainali kwenye ajira.... Ajira hiyo hiyo inapambaniwa Na waliosoma kayumba Na EMS Na wakipata ajira wote training Na mshahara wanalipwa Sawa ...Io ela ya kumpeleka EMS kheri ungemfungulia account umuwekee pesa then akija kujitambua afanye anachokipendaYani unakuta mtu anakuja na theories sijui ame-google wapi, anaziunganisha unganisha ili tu muonekane mnaosomesha watu shule EMs ni maboya.
Hii yote ajipatie faraja kwa maamuzi magumu aliyoyafanya.
Anasahau kila mtu ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kuendana na uwezo wake.
Hakuna aliewahi kuja na nyuzi hapa kuponda wazazi wanaosemesha watoto magomboko praimari ila nyie kwa sababu mna hangaika na maamuzi yenu kutafuta validation basi mnaanza kuponda watu mkiwaita wanapoteza pesa. Mnawaita wapoteza pesa wakati nyie wenyewe mmepangishia milupo kila mitaa ya kati.
UMASIKINI SIO KUKOSA PESA TU.
Fact Mimi pia nimesoma government EMS walichokua wanatuzidi ni kingereza tu Na cha kuongea Sio cha darasani Na tulikua tunawaburuza Sana kwenye mitihaniNimesoma Shule za umma toka Primary Hadi University.Ni Master Tu ndiyo Nilifanya Private.Kuanza Kazi hasa private,NGO na GoT nikakutana na waliotoka special Schools.Kwa performance hakuna significant difference.Nilishakuwa boss wa baadhi ya Hao waliotoka special schools:Ukiacha Kingereza na utamaduni wa uzungu,Mengine ni ya kawaida.Watoto nimepeleka hizo special schools na magari ya Njano.Kwa Nchi yetu hatujafika Mahali pa kuiona hiyo tofauti kubwa ya kustahiki Malipo mara Kadhaa Kuliko public.Kwa hiyo binafsi special school mwisho la Saba,kisha anaingia public school Kiroho Safi.Nakumbuka niliingia F.5 (PCB) Public school,nkakutana na watt wa washua toka Dar,waliomaliza O Level zile shule za Kiingereza,Hadi unaogopa.Baada ya term ya kwanza Kwisha tukawa level.Kama watu wanatarajiwa kupambania Kazi za umma,hizi Ambazo nyaraka nyingi ni Kiswanglish,tumia pesa kwa Akili.Kama Unatarajia mwanao aingie Transnational Corps/Multinational Orgs,lipa.Kama mwanao ataingia kupambania machimbo ya Kariakoo,aende kokote Tu.Kuna dogo kamaliza F4 public school,anasubiri Majibu,Nimemwambia afanye field work Machimbo ya Kariakoo.Na ananiambia anaziona fursa za kutoboa.Akimaliza F6 nampeleka Field Mtwara kwenye Korosho ajifunze kuchabanga Korosho.Elimu inatakiwa ilete Majawabu ya Changamoto zetu.Hatuwezi kuendelea Kulipa gharama kubwa huku tunagombania remote na madogo na mipasho kwenye social media.