Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Mimi nilimkopesha rafiki 100k aongezee Kodi ya Nyumba mpaka muda huu kani block hataki kunilipaKuna rafiki yangu baada ya kumkopesha 200k na mawasiliano yaliishia palepale toka mwezi wa kwanza.
Mm 300k .Kuna rafiki yangu baada ya kumkopesha 200k na mawasiliano yaliishia palepale toka mwezi wa kwanza.
kuwa gaidi tuKama Mimi nilimkopesha rafiki 100k aongezee Kodi ya Nyumba mpaka muda huu kani block hataki kunilipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambiee ipo siku yake.....ata ipata dawa.Kuna jamaa anamadeni kinoma siku moja akanichana kuwa yeye huwa halipi madeni anachofanya anahakikisha hela yako anakaa nayo miez Kama 8 hadi uwe mkali Hadi kichaa kitake kupanda alafu anachofanya hatoi hela yake mfukoni anaenda kukopa kwa mtu Mwingine ili akulipe
Anasema mdai wa zamani siku zote ndo anasumbua sana ila mdai mpya huwa hana nongwa.
Baada ya wiki akajisahau akaja kuniomba nimkopeshe.
Umeongea ukweli mtupu👍Kwenye jamii zetu kuna wale watu ambao kila siku wao ni kukopa tu yaani akilkulipa leo anakutarget week or siku kadhaa anakukopa tena yani ni kama pesa yako ushammilikisha yeye so inakaa kwako kwa muda mfupi tuu yeye ndio anatamba nayo na watu kama hawa mwisho wa siku huwa ni matapeli siku akishindwa kulipa ndio ntolee
Wengine utakuta mpo ofisi moja na kipato ni kimoja lakini mwenzio yeye kila siku anakukopa tu hebu jiulize mshahara wake kama haumtoshi we wako ndio unatosha kukopesha watu?
Kukopesha Ndugu au Marafiki pesa kwa sasa imekuwa ikiuwa mahusiano ya ukaribu ya watu wengi sana, watu wamekuwa wakitumia ngao ya urafiki au undugu kulia shida ukishawasaidia wanakimbia na pesa zako
Kwa sasa kopesha mtu pesa ndefu for your own risk, ni heri uwe kama gaidi tu utoe jibu moja tu huna hela or mpe ila usimdai kuepusha lawama maana, hali ni tete now.
Kwa sasa ni heri mtu umshauri akakope kwenye taasisi or kama kaajiriwa akakope tu kazini, ukiona mtu mpaka kafika kwako ujue huko kote hakopesheki.
[emoji2][emoji2][emoji2]Kuna jamaa anamadeni kinoma siku moja akanichana kuwa yeye huwa halipi madeni anachofanya anahakikisha hela yako anakaa nayo miez Kama 8 hadi uwe mkali Hadi kichaa kitake kupanda alafu anachofanya hatoi hela yake mfukoni anaenda kukopa kwa mtu Mwingine ili akulipe
Anasema mdai wa zamani siku zote ndo anasumbua sana ila mdai mpya huwa hana nongwa.
Baada ya wiki akajisahau akaja kuniomba nimkopeshe.
Inaitwa jibebe wana tozo wajukuu wa tozoKwenye jamii zetu kuna wale watu ambao kila siku wao ni kukopa tu yaani akilkulipa leo anakutarget week or siku kadhaa anakukopa tena yani ni kama pesa yako ushammilikisha yeye so inakaa kwako kwa muda mfupi tuu yeye ndio anatamba nayo na watu kama hawa mwisho wa siku huwa ni matapeli siku akishindwa kulipa ndio ntolee
Wengine utakuta mpo ofisi moja na kipato ni kimoja lakini mwenzio yeye kila siku anakukopa tu hebu jiulize mshahara wake kama haumtoshi we wako ndio unatosha kukopesha watu?
Kukopesha Ndugu au Marafiki pesa kwa sasa imekuwa ikiuwa mahusiano ya ukaribu ya watu wengi sana, watu wamekuwa wakitumia ngao ya urafiki au undugu kulia shida ukishawasaidia wanakimbia na pesa zako
Kwa sasa kopesha mtu pesa ndefu for your own risk, ni heri uwe kama gaidi tu utoe jibu moja tu huna hela or mpe ila usimdai kuepusha lawama maana, hali ni tete now.
Kwa sasa ni heri mtu umshauri akakope kwenye taasisi or kama kaajiriwa akakope tu kazini, ukiona mtu mpaka kafika kwako ujue huko kote hakopesheki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaah kmmkKuna jamaa likikukopesha utarudisha tu Hela mwenyewe. Tena hataki uweke chochote we chukua sepa ila hela utaitoa.
Wengi wenu ni jeuri. Acha kujificha kwenye 'maisha' yanatukimbiza.Mnadhan tunapenda ndugu ni bas tuu..
Maisha yanatukimbiza....
Anafanya kazi gani huyo rafiki yako?Kama Mimi nilimkopesha rafiki 100k aongezee Kodi ya Nyumba mpaka muda huu kani block hataki kunilipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Take care usije kulawitiwa. Watu wana uchungu na pesa zao. Usione sifa kujisifia na usijione wewe ni mjanja na wanaokukopesha ni malofa.Mi ndio nina madeni balaa na nakopa kama serikali ya Samia, na sina uwezo wa kulipa