kantalambaz
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 1,878
- 887
Unapataje shida wakati unakopesha kwa mtu kuweka dhamana?Hata kwenye taasisi za mikopo ni hivyo hivyo.
Tunapata shida sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapataje shida wakati unakopesha kwa mtu kuweka dhamana?Hata kwenye taasisi za mikopo ni hivyo hivyo.
Tunapata shida sana.
Angalia kisije kifiro kikakuhusuMi ndio nina madeni balaa na nakopa kama serikali ya Samia, na sina uwezo wa kulipa
Ni WaTZ I think ndio wenye uaminifu mdogo. Wabinafsi mno wakishatatua shida zao.Binadamu wa sasa hawakopesheki
Kabisa, na kweli utabarikiwa.Kweli ukiwa na moyo wa kulipa madeni Basi hata mungu atakubariki..mana wengi moyo huo Hawana..
Mkuu watanzania tunadekezana sana huku kukopeshana huwezi sikia kwenye nchi za wenzetu hata majirani zetu tu hapo kenya.Ni WaTZ I think ndio wenye uaminifu mdogo. Wabinafsi mno wakishatatua shida zao.
Nilimkopa mtu pesa ndefu tu milioni tatu na laki nane kwa minajili ya kurudisha baada ya mwezi, ila baada ya mwezi kupita nikaona ananizungusha nilichomfanya hatosahau urafiki uliisha na fedha alirudisha kama wewe sio mbabe usiwe mwepesi wa kukopesha maana watanzania hawaasaidikiNimeona huu uzi mpaka roho imeruka! Nilisha sema siwezi mkopesha mtu pesa tena mana najua inavunja uhusiano Kabisa, sasa sijui ni jini gani limenikumba majuzi hapa kuna jamaa yangu yuko na biashara zake ananiambia kakwama ni msave hela ndani ya week mbili atakua karudisha. Ni pesa ambayo sijawahi mkopesha mtu mana ni nyingi kiasi sijui kilitokea nini mpaka nikampa labda aliroga yule sio bure. Leo ni week ya tatu nampigia ananiletea story nyingi mara kuna hili mara kuna lile ila atatoa namtumia hata majini.
Huyo mkopeshe kwa riba, hakuna namna.Mkuu watanzania tunadekezana sana huku kukopeshana huwezi sikia kwenye nchi za wenzetu hata majirani zetu tu hapo kenya.
Watanzania ni wavivu na wapenda starehe, unakuta mtu ana mshahara mzuri tu ila katikati ya wiki anakuambia pesa hana, sasa mtu kama huyu unamsaidia vipi?
Huyo mpe muda, usimsumbue. Kaa kimya! Tulia hata week 2 tu utajua hatma yake. Fanya hivyo ili akose pa kujitetea hapo mbeleni.!Nimeona huu uzi mpaka roho imeruka! Nilisha sema siwezi mkopesha mtu pesa tena mana najua inavunja uhusiano Kabisa, sasa sijui ni jini gani limenikumba majuzi hapa kuna jamaa yangu yuko na biashara zake ananiambia kakwama ni msave hela ndani ya week mbili atakua karudisha. Ni pesa ambayo sijawahi mkopesha mtu mana ni nyingi kiasi sijui kilitokea nini mpaka nikampa labda aliroga yule sio bure. Leo ni week ya tatu nampigia ananiletea story nyingi mara kuna hili mara kuna lile ila atatoa namtumia hata majini.
Kitu gani mzee ulimfanya? Je, ni kweli hakuwa na uwezo wa kurudisha kwa wakati au ALIDHAMIRIA kukudhulumu?Nilimkopa mtu pesa ndefu tu milioni tatu na laki nane kwa minajili ya kurudisha baada ya mwezi, ila baada ya mwezi kupita nikaona ananizungusha nilichomfanya hatosahau urafiki uliisha na fedha alirudisha kama wewe sio mbabe usiwe mwepesi wa kukopesha maana watanzania hawaasaidiki
Sio hataki ,, hana pesa [emoji1787]Kama Mimi nilimkopesha rafiki 100k aongezee Kodi ya Nyumba mpaka muda huu kani block hataki kunilipa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi ndio nina madeni balaa na nakopa kama serikali ya Samia, na sina uwezo wa kulipa
pole mkuu,wewe ni muhanga mwenzangu,nakopesha sana watu lakini napopata shida ya pesa sipati kabisa msaada!😭Binafsi huwa nakopesha watu pesa kwa Nia njema kabisa.
Lakini Mimi huwa nikikwama Hakuna my hata mmoja ananikopesha. Kila mtu Hana.
Ila ndio Maisha tuliyochagua.
Tumeshajenga taifa la JANJA JANJA NA KUTOAMINIANA.
Muhimu kama humsaidii mtu na wewe hakikisha huombi msaada kwa mtu.
Hio ndo changamoto sana au hata ukiwa wakala usije dhubutu ndugu,marafiki wajue au wapangaji wezako wajue ni hatari unakua back up yao ila kurudisha sanapole mkuu,wewe ni muhanga mwenzangu,nakopesha sana watu lakini napopata shida ya pesa sipati kabisa msaada!😭
Pole sana kkaSentence case: Maisha ya kawaida yanakufanya uwafahamu watu kawaida, ila ukianza biashara ya kukopesha ndipo utakapowaona binadamu wana unyama ndani yao. Nilikuwa nakopesha pesa na hata niliwafahamu ndugu, jamaa na marafiki upya. Pesa ni mwanaharamu sana.
Imagine mtu alikopa 600k, akakaa nayo miezi 9, akakopa benki zaidi ya 20m, akaja akapunguza deni 300k, akapotea mazima, akanunua gari la kifahari na ni mfanyakazi wa kawaida. Kuna kipindi nahisi damu inanuka mdomoni nikimuona. Asante Mungu nilisamehe.
NB: Usiseme mtu fulani yuko smart kama usmart wake haujahusisha kukopeshana pesa. Si wanawake, si waumini, si wachungaji, si watu maarufu, si wenye vyeo, n.k.