...msipotongozwa huwa mnajisikiaje?

Mwambie ajichanganye na watu pesa si kila kitu atashinda kutafuta tu pesa huku umri unasonga.....clock ticking.....tik tok tik tok......
bila shaka hii itamsaidia sana,ntamsisitiza hili zaidi
 
Mimi nadhani kwa kuwa wewe unajua matatizo yake vizuri zaidi, unaonaje urafiki wenu mkau-extend kidogo mkawa wapenzi ili umsaidie hilo tatizo lake? Urafiki ni kufaana mkuu siyo kushauriana maneno makavu tu.
 
hajawahi kuolewa wala kuwa na mtoto bishanga,bila shaka kuna kitu tumwambia baada ya jibu hili

huyo hanifai,mi nataka mwenye watoto au ka vipi awe certified tasa (sio mgumba).
 
mpe pole sana maana kama anaona hatongozwi na je kwa nini asijitongozeshe ??? na yeye hadi sasa anadai hajawahi ina maana hata haendi sehemu ambazo kuna bar akutane na mtu ?? ... mh
 
sasa vipi mkuu bora ungeanza wewe kumtongoza klikokuleta mada ambayo ufumbuzi wake atawewe unaweza utatua.weka contact zake japo ni binti wa 36yr
 
fabinyo hiyo avatar yako mwana nimekubali, umeenda na contrast siyo? maana meno tu.

Kuhusu binti, mi namjua bibi kizee aitwa "Binti Saidi" na ana miaka 80, sasa ubinti maana yake si umri, maana yake ni mtoto wa kike wa mtu fulani. Na hakuna mwanamke asiye mtoto wa fulani. Mbona Bin Laden jitu zima lakin anaitwa Bin Laden? Sasa Bin na Bint zina tofauti gani?

Mwanamke kutotongozwa atake mwenyewe, au labda kama anataka unrealistic hunks with own moneytree and a plot on the Sea of Tranquility.

Kila mtu ana wake, ni kujua tu wapi pa kuangalia. Kama unakinga ndoo upate maji ya mvua katikati ya Atacama unategemea nini?
 
Ajimix tu na watu mtaani na aache kuwa mtu wa maprotocol, kunata, kujidai, misifa na nk. Jaribu kama miezi miwili hivi, ataona matunda yake. Akishindwa mwambie ani-pm nimpatie mpango mkakati mwingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…