Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha! Big girl dena!Mie nimeshituka kha?! Halafu mleta thread sijui yuko wapi
hajawahi kuolewa wala kuwa na mtoto bishanga,bila shaka kuna kitu tumwambia baada ya jibu hili
Hahaha! Big girl dena!
Mie nimemzidi ten yrz bana mie ni mama c msichana
Mh!Nimejua umenidanganya,sisemi mengi ila mi nina uhakika umenidanganya!
Mh!Nimejua umenidanganya,sisemi mengi ila mi nina uhakika umenidanganya!
umedanganywa na Dena?????lol
Eiyer umeona hii?!
Na utu uzima huu niseme uongo hapana aisee
Nilikua sijaiona,the boss amedandia treni kwa mbele!