Msipotoshe: Aliyevunja Mkataba Siyo Yanga SC Wala Ramovic!

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Hii habari ni kama watu wanatafuta engagement tu kwenye social medias mbalimbali ila ukweli siyo huo wanaoandika huko na hapa JF.

Yule kocha Romavic kuna timu imefika dau hivyo imemtongoza akakubali ndipo hiyo timu ilivunja mkataba na Yanga African SC kwa kuilipa kiasi cha pesa kutokana na mkataba wao na kocha.

Soma Pia:Yanga yavunja rasmi mkataba na Sead Ramovic. Na kumtangaza Kocha wake mpya, Miloud Hamdi

Waliokiwa wa kwanza kuandika hii ni vile walikuwa wanatafuta kuwa wa kwanza na habari ya uongo uongo tu, vile JF nayo siku hizi wamekuwa wa kausha damu, habari ya uongo inapewa heading na ikija ya ukweli inaunganishwa na ile fake.

Haya twende kazi.
 
Yaani timu ishindwe kuvuka makundi CAF halafu kocha avutie timu zingine?

Hii kubwa kuliko AISEE
 
Hii habari ni kama watu wanatafuta engagement tu kwenye social medias mbalimbali ila ukweli siyo huo wanaoandika huko na hapa JF.

Yule kocha Romavic kuna timu imefika dau hivyo imemtongoza akakubali ndipo hiyo timu ilivunja mkataba na Yanga African SC kwa kuilipa kiasi cha pesa kutokana na mkataba wao na kocha.

Soma Pia:Yanga yavunja rasmi mkataba na Sead Ramovic. Na kumtangaza Kocha wake mpya, Miloud Hamdi

Waliokiwa wa kwanza kuandika hii ni vile walikuwa wanatafuta kuwa wa kwanza na habari ya uongo uongo tu, vile JF nayo siku hizi wamekuwa wa kausha damu, habari ya uongo inapewa heading na ikija ya ukweli inaunganishwa na ile fake.

Haya twende kazi.
Huna a, b, C za mikikataba kabisa. Ukiachana na vile viungo muhimu vya mkataba, kuna kitu kinaitwa privity of the contract Google
 
Itabadilisha mkataba au nini kusudio la taarifa hii?

Tukiufahamu ukweli unatusaidia nini kwenye hili, awe kavunja au umevunjwa na yeyote ukweli ni kwamba anaondoka, na kocha mpya nakuja au sielewi nini?
 
Sawa tumekubali, ila ukweli ni kwamba "Yanga imetolewa na imeishia makundi"
 
Awe amevunjiwa mkataba au amepata timu nyingine mtoto Said alikua wa kuondoka tu ilikua ni swala la muda
 
Tukuamini wewe au Taarifa ya Yanga?Kwenye taarifa hiyo hakuna ilipoandikwa kuna timu nyingine imevunja huo mkataba.
Kwani lazima Yanga waandike kulingana wewe unachotaka?.

Watu wa mpira wanafaham hii kitu, vinginevyo unapelekwa hata usikotaka?.
 
downloadfile-3.jpg
 
Back
Top Bottom