Msipotoshe: Aliyevunja Mkataba Siyo Yanga SC Wala Ramovic!

Msipotoshe: Aliyevunja Mkataba Siyo Yanga SC Wala Ramovic!

Kwa hiyo tuseme hiyo timu ilikuwa na mkataba na Yanga?
Aliyevunja mkataba siyo aliyefunga mkataba bali anayetaka kuuvunja.

Endapo Yanga ingemfukuza hapo Yanga ndiye kavunja na endapo Romavic angeondoka kibabe basi ndiye angekuwa kavunja ila...

Timu iliyofika bei ndiyo imeongea na kocha then timu ikawasiliana na Yanga African ili kuvunja mkataba wa Yanga na Ramovic.
 
MWAKA 1961 TANGANYIKA IKIPATA UHURU.

BABA WA TAIFA ALIWATAJA MAADUI WAKUU WA TATU WA TAIFA.
1. UMASIKINI.
2. UJINGA.
3. MARADHI.

AKAMALIZA KWA KUSEMA "MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI NA SI MAADUI WA DHIHAKA"
JK NYERERE
 
Timu iliyofika bei ndiyo imeongea na kocha then timu ikawasiliana na Yanga African ili kuvunja mkataba wa Yanga na Ramovic.
Hakuna kitu kama hicho. Hakuna timu zinazofanya uhamisho wa makocha kasoro Yanga na Singida United tu
 
Kuna watu kama wachawi
 
Hii habari ni kama watu wanatafuta engagement tu kwenye social medias mbalimbali ila ukweli siyo huo wanaoandika huko na hapa JF.

Yule kocha Romavic kuna timu imefika dau hivyo imemtongoza akakubali ndipo hiyo timu ilivunja mkataba na Yanga African SC kwa kuilipa kiasi cha pesa kutokana na mkataba wao na kocha.


Soma Pia:Yanga yavunja rasmi mkataba na Sead Ramovic. Na kumtangaza Kocha wake mpya, Miloud Hamdi

Waliokiwa wa kwanza kuandika hii ni vile walikuwa wanatafuta kuwa wa kwanza na habari ya uongo uongo tu, vile JF nayo siku hizi wamekuwa wa kausha damu, habari ya uongo inapewa heading na ikija ya ukweli inaunganishwa na ile fake.

Haya twende kazi.
Siyo kwamba alitaka awe w kwanza waliowengi uwezo wao wa kutafsiri taarifa ni mdogo, kumbe pia kama uwezo wako wa kutafsiri taarifa ni mdogo unaweza kuwasababishia changamoto wengine hata wewe mwenyewe
 
Kodro na kundi lake walikuwa kwa mkopo wa miezi 6 hapo utapoloni na mipango ya hersi alitegemea mtafuzu robo fainali aboreshe mkataba wa side mnyamwezi lakini mambo yakaenda tofauti
 
Back
Top Bottom