Aliyevunja mkataba siyo aliyefunga mkataba bali anayetaka kuuvunja.Kwa hiyo tuseme hiyo timu ilikuwa na mkataba na Yanga?
Hakuna kitu kama hicho. Hakuna timu zinazofanya uhamisho wa makocha kasoro Yanga na Singida United tuTimu iliyofika bei ndiyo imeongea na kocha then timu ikawasiliana na Yanga African ili kuvunja mkataba wa Yanga na Ramovic.
Siyo kwamba alitaka awe w kwanza waliowengi uwezo wao wa kutafsiri taarifa ni mdogo, kumbe pia kama uwezo wako wa kutafsiri taarifa ni mdogo unaweza kuwasababishia changamoto wengine hata wewe mwenyeweHii habari ni kama watu wanatafuta engagement tu kwenye social medias mbalimbali ila ukweli siyo huo wanaoandika huko na hapa JF.
Yule kocha Romavic kuna timu imefika dau hivyo imemtongoza akakubali ndipo hiyo timu ilivunja mkataba na Yanga African SC kwa kuilipa kiasi cha pesa kutokana na mkataba wao na kocha.
Soma Pia:Yanga yavunja rasmi mkataba na Sead Ramovic. Na kumtangaza Kocha wake mpya, Miloud Hamdi
Waliokiwa wa kwanza kuandika hii ni vile walikuwa wanatafuta kuwa wa kwanza na habari ya uongo uongo tu, vile JF nayo siku hizi wamekuwa wa kausha damu, habari ya uongo inapewa heading na ikija ya ukweli inaunganishwa na ile fake.
Haya twende kazi.