Msipotubu yaliyotokea October 29 huko mbele huenda yakatukuta ya Nepal

Msipotubu yaliyotokea October 29 huko mbele huenda yakatukuta ya Nepal

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,095
Reaction score
13,016
Elininyo elininyo tubuni damu za wale watoto hazitawaacha salama.

Nyie mnajiona wajanja ila nawaambia zile damu ni mbaya sana kwa hili taifa.

Viongozi wa dini mnasisitiza tuliombee taifa wakati kuna damu zinalia zipo ardhini? Huu ni mtego mbaya sana kwa hili taifa.

Bila toba hatutoboi .
 
Watawala mpaka yawakute. Basi watawaliwa watakuwa kwenye hali ngumu zaidi.

Hizo El Nino hazina madhara kwa Watawala
 
Back
Top Bottom