Nitakuroga.
Hata yeye ameniambia nikwambie hivyo hivyoπ€£Sina haraka shee.. Mwambie mdogo wako akisusa...!?πView attachment 3579787
π€£π€£π€£π€£ pole sana mkuu.Mtu unamuamini vizuri tuu, mnakutana, mnaendeleza urafiki, badae anakuuza humu JF. π
π€£π€£π€£π€£ pole sana mkuu.
Sina haraka shee.. Mwambie mdogo wako akisusa...!?πView attachment 3579787
π€£π€£π€£π€£π€£π€¨π©π₯Ί natania shee
Nipe mikoba basi, nina kazi nayo.
Mkuu nina stock πmimi ni tajiriView attachment 3579793
Ebu washangaze mataifa kesho uje na marafiki zako wale number E nijichagulieDogo kwahiyo mimi ni wa mchongo!! Nimelia sanaπππ
Mme Lucas? Dah bora kunyongwa ππππIla kama ni mume umepata.. Maana ukiwa na biashara ya machozi chimbo unaloπ
Unaniombea niweje?πNitakua sikuombei unajua