Msisahau ku-update Android zenu kwenda Android 13

Aisee kama hiyo Samsung ni "budget phone" usijaribu kuiupdate. Ogopa sana.
One UI update ni nzito kwa budget phones kuhimili. Usije ukaja kutukana Samsung zote humu ndani
Ni S20 ultra mzee, na ata firmware yake ni official sio custom. Nikaenda kuconfirm knox count yake imekuwa triggered kule download mode lakini naona napo Ipo intact (0).

Nimesha download android 13 manually kutoka sammobile ila mpaka leo bado naogopa kuiflash kutumia Odin.
 
Ukitoa software Google Pixel hana la maana. Huku kwingine kawaachia kina Samsung, iPhone, Xiaomi, Huawei, One Plus, etc.
unazungumzia pixel ipi? na simu asilimia kubwa ni software Kijana!
 
Mkuu hii custme rom unaipatia kwenye setting za simu husika au unafanyaje ndg natanguliza shukrani
 
Hiyo harmonyOS unaweza kitumia illegal websites au na wenyewe wana limitation za ajabu kama iOS

Is why ina depend na focus ya brand husika. Ios wana vision tofauti na android.
So user mwenyewe ataenda panapo mfaa
 
Hakuna UI bora kwenye simu za Android kuliko One UI ya Samsung, hakuna.

Hizo oxygen os, sijui MIUI, color OS sijui nani hazimfikii Samsung.

Ile fluidity ya One UI, mpangilio wa apps, visual impression na mambo mengine mengi haina mfano.

UI BORA DUNIANI NI YA SAMSUNG ZILE FONT TU KILA MTU ANAZIPENDA NA SIMU NI KALI MSIJIPE MOYO SIAMOIII SIJUI OPOLO SIMU NI SAMSUNG N IPHONE BASIIIII
 
UI BORA DUNIANI NI YA SAMSUNG ZILE FONT TU KILA MTU ANAZIPENDA NA SIMU NI KALI MSIJIPE MOYO SIAMOIII SIJUI OPOLO SIMU NI SAMSUNG N IPHONE BASIIIII
If no reasonable reasons then how are you gonna convince us?
Software bora ni iOS ya iPhone na Stock Android ya Google Pixel. Then ndio atakuja Samsung One UI, akitoka Samsung, Xiaomi, Oppo n.k watafuatia. Kwa simu za Android software yenye better optimisation ni Android One ya Google Pixel, Motorola, etc ambayo ni simple and clear. Then One UI hamfikii iOS kwenye optimisation pia. One UI anampita MIUI kwenye optimisation lakini MIUI inapendwa sana na watumiaji kwa sababu inawaweka Xiaomi users kwenye ulimwengu wao na hufunika kabisa ile Android look and feeling kwenye smartphones zao ndio maana kwenye Xiaomi phones ni muhimu sana ku-update MIUI kuliko Android version kwa sababu Xiaomi inapambwa na features zao wenyewe kuliko za Android. Licha ya watu kujua kuwa One UI ni bora kuliko MIUI lakini bado wengine wanapenda zaidi MIUI kwa sababu ya features zake za kipekee tofauti na simu nyingine za Android. Oppo yeye ana ColorOS ambayo ina features chache lakini ni smooth kuliko MIUI na One UI kwa hiyo Kila mtu ana mtazamo wake
Hapo sijaongelea Harmony OS ya Huawei
 
Hoja zako hapa nimezielewa sana, kingina nafikiri ni mapenzi binafsi ya mtu, Binafsi naikubali sana one UI, hizi za saivi ndo wameua kabisa!
 
Mimi natumia S20 kabla ya hii nilikuwa na REDMI note 10
Kuna vitu vizuri na miss, mfano
Second space
Hide apps
Screen shot ya redmi ni simple
Kuwasha tochi kwenye redmi ni simple tu
Call recording kwenye Dialpad
Wallpaper za bure na nzuri (kwenye Samsung ni za kununua)
 
Vp xiaomi zinatunza battery?? Lets say xiaomi yenye battery 5000mAh naweza kukaa nayo sku mbili ikiwa data on???

Watu wengi Wanakimbilia infinix sio kwa sababu n nzuri hapana,,, n kwa sababu inakaa na battery week nzma,,, uwezo wa battery wa infinix unawatia upofu watumiaji na kujikuta wanasahau kuangalia vitu basic kama vile CPU.

Kwa comment zako humu,, nianaamini ww ni agent/super customer/die hard fan wa xiaomi
 
Xiaomi zinatunza sana chaji kwa sasa hiyo siyo ishu kwa Xiaomi. Na sio Xiaomi peke yake karibia Kila brand siku hizi simu zake zinakaa na chaji. Hizo Infinix kwa sasa hazina upinzani wa maana kwenye chaji. Angalia simu za sasahivi unaangalia video masaa 15 hadi 20 ndio chaji inaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…