kkenzki
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 1,498
- 2,483
Ni S20 ultra mzee, na ata firmware yake ni official sio custom. Nikaenda kuconfirm knox count yake imekuwa triggered kule download mode lakini naona napo Ipo intact (0).Aisee kama hiyo Samsung ni "budget phone" usijaribu kuiupdate. Ogopa sana.
One UI update ni nzito kwa budget phones kuhimili. Usije ukaja kutukana Samsung zote humu ndani
Nimesha download android 13 manually kutoka sammobile ila mpaka leo bado naogopa kuiflash kutumia Odin.