Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,056
Unatumia simu gani? Inasupport screen mirroring na NFC?Napenda rimot naipateje kwenye simu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia simu gani? Inasupport screen mirroring na NFC?Napenda rimot naipateje kwenye simu?
Mhhhhh, mkuu nina mashaka na unachokisema.1. Split Screen.
2. Float Screen.
3. Guest Account (unakuwa na accounts kibao ndani ya simu na zinajitegemea)
4. Touching gestures za kutosha with the screen off
Na vitu vingine viingi ambavyo kwenye Samsung sikuviona.
Nimetumia Samsung S10+ na ndio nikahamia Oppo
bado ana uwezo wa kudownload file manual na akaweka..
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Nimetafuta sana hii option sijabahatika kuiona nangoja kexho linigongee notification nilipige pin mana ku update naweza pata mazonge tena pesa ngumu kununua cm asaiv unplannedKwenye update settings weka never na notification zima[emoji1787][emoji1787] masimu mengine ukiigusa tu ndio umeizima, tunayatumia tu kama ya urithi
We jamaa inaelekea roho imekuuma sana uliposikia Xiaomi alikuwa na hiyo feature kabla[emoji38][emoji38]Ni feature zipi ambazo unaziona xiaomi na oppo ila Samsung huzioni?
Mimi binafsi labda ije brand mpya ya simu (Tesla) ndio naweza kuhama Samsung.
Na hua unatumia Samsung zipi, low end, mid end ama high ends? Mimi huku kwenye high ends Samsung amenishika na hapa nasubiri Februari 1 atoe Galaxy 23 nijichukulie mzigo.
unatumia simu gani?Nimetafuta sana hii option sijabahatika kuiona nangoja kexho linigongee notification nilipige pin mana ku update naweza pata mazonge tena pesa ngumu kununua cm asaiv unplanned
mh hapo sina ushauri mkuu hiyo simu sijawahi tumia🥲Mkubwa natumia ki infinix hot 12 i
Nilitaka kuongea nikahisi mmbea yaani toka redmi note 4a huko hizo feature tunadunda nazo xiaomi ni nyoko sana, ukiondoka uchawi wa samsung kwenye kioo hakuna anachokosa au samsung kumshinda xiaomiKwenye Redmi Note 10 pro ilishakuwepo hata kabla ya update ya Android 13.
Wewe ndio umeongea. Samsung anawin katika vioo hasa katika simu zake za upper Mid range hadi high end. Kwenye lower budget phones hamna kitu ukilinganisha ba simu za budget kama Honor series, Redmi na Oppo.Nilitaka kuongea nikahisi mmbea yaani toka redmi note 4a huko hizo feature tunadunda nazo xiaomi ni nyoko sana, ukiondoka uchawi wa samsung kwenye kioo hakuna anachokosa au samsung kumshinda xiaomi
Laiti xiaomi asingekutana na kizuizi cha bwana gugo kumfosi atumie google dialler and sms kwa global version hakuna kampuni duniani ingemshika aisee .Ila all in all custom rom zipo unaishi xiaomi siku akija kuijua siri ya samsung kwenye vioo wallah naapa kisukuma (butababa ) atajua hajui xiaomi forever .Wewe ndio umeongea. Samsung anawin katika vioo hasa katika simu zake za upper Mid range hadi high end. Kwenye lower budget phones hamna kitu ukilinganisha ba simu za budget kama Honor series, Redmi na Oppo.
Kingine ambacho Sammy anasimama ni camera ila nje ya hapo stock UI yake ni ya kawaida sana
Mkuu, mbona hata comparison zinaonesha kioo cha Xiaomi 13 Pro ni bora kuliko cha Samsung Galaxy S22 Ultra. Sehemu ambayo Samsung anampita Xiaomi ni software sanasana, tena software yenyewe bado hazijaachana parefu.Nilitaka kuongea nikahisi mmbea yaani toka redmi note 4a huko hizo feature tunadunda nazo xiaomi ni nyoko sana, ukiondoka uchawi wa samsung kwenye kioo hakuna anachokosa au samsung kumshinda xiaomi
Oppo wana udambwi mwingi sana samsung hawan na ndio maan naikubali saana coloros iko bomba sana muonekan wake unavutia yani usiomb ukute oppo afu ina amoled screen ase ni tamu mno1. Split Screen.
2. Float Screen.
3. Guest Account (unakuwa na accounts kibao ndani ya simu na zinajitegemea)
4. Touching gestures za kutosha with the screen off
Na vitu vingine viingi ambavyo kwenye Samsung sikuviona.
Nimetumia Samsung S10+ na ndio nikahamia Oppo
Japo sijawah kutumiaa sm xiaomi ila inaonekana wako vzr sana eeh kulingana na maelez yako??Mkuu, mbona hata comparison zinaonesha kioo cha Xiaomi 13 Pro ni bora kuliko cha Samsung Galaxy S22 Ultra. Sehemu ambayo Samsung anampita Xiaomi ni software sanasana, tena software yenyewe bado hazijaachana parefu.
Zipo vizuri sana... Sio tu kwa maelezo yangu we zifuatilie tuJapo sijawah kutumiaa sm xiaomi ila inaonekana wako vzr sana eeh kulingana na maelez yako??
Sawa sawa bossZipo vizuri sana... Sio tu kwa maelezo yangu we zifuatilie tu
Hakuna UI bora kwenye simu za Android kuliko One UI ya Samsung, hakuna.Wewe ndio umeongea. Samsung anawin katika vioo hasa katika simu zake za upper Mid range hadi high end. Kwenye lower budget phones hamna kitu ukilinganisha ba simu za budget kama Honor series, Redmi na Oppo.
Kingine ambacho Sammy anasimama ni camera ila nje ya hapo stock UI yake ni ya kawaida sana
Hizo color sijui nini bado sana kwa One UI. Acheni kujifariji na simu za viwango vya kawaida.Oppo wana udambwi mwingi sana samsung hawan na ndio maan naikubali saana coloros iko bomba sana muonekan wake unavutia yani usiomb ukute oppo afu ina amoled screen ase ni tamu mno
Nenda kafuatilie comparisonHizo color sijui nini bado sana kwa One UI. Acheni kujifariji na simu za viwango vya kawaida.
Xiami, Oppo, Redme nk bado sana kumfikia Samsung. Samsung anawazidi kila kitu, kila kitu. Yuko mbali sana.
Ukipata hela kwenye Android nunua Samsung, ukikosa hela ukapata kidogo nunua hizo Xiaomi, Oppo nk na ukikosa hela kabisa nunua tecno.