King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
Sawa sawaXiaomi zinatunza sana chaji kwa sasa hiyo siyo ishu kwa Xiaomi. Na sio Xiaomi peke yake karibia Kila brand siku hizi simu zake zinakaa na chaji. Hizo Infinix kwa sasa hazina upinzani wa maana kwenye chaji. Angalia simu za sasahivi unaangalia video masaa 15 hadi 20 ndio chaji inaisha.