Msishangae Mkurugenzi wa mashtaka kufuta mashitaka kabla ya maamuzi kuokoa mahakama. Kwa kesi ya kijinga hivyo serikali haiwezi kushinda. Wakipewa ushindi na majaji kila mtu atasema kutokana na ushahidi huu majaji wamekuwa machawa.
Serikali ikishidwa wataona aibu hivyo kwa ushahidi huu na kwa ukubwa wa jambo hili Mkurugenzi wa mashitaka asikotoa hii kesi kabla ya maamuzi wataua kabisa kitengo cha mahakama. Kwasababu hii hatutapata hukumu badala yake mkurugenzi atafuta kesi.