#COVID19 Msisitizo Askofu Gwajima ni msimamo juu ya msimamo kuhusu Chanjo ya COVID-19

#COVID19 Msisitizo Askofu Gwajima ni msimamo juu ya msimamo kuhusu Chanjo ya COVID-19

Kwa nini hii chanjo iwe kizingimkuti? Wanaokataa si wapuuzi wana hoja za kukataa kuchanjwa
Hakuna MTU amepewa amri ya kuchanja Chanjo ya COVID-19 bali ni hiari lakini Askofu Gwajima kashikia bango msimamo wake kutimiza agenda anayofahamu.
 
Wajinga ndo waliwao mkuu "ukistaajabu ya mussa uta..............."?

Msaada tutani kwenye video kama kuna udanganyifu au la ! Kama ni kweli hajachoma sindano ya chanjo ya covid-19; inapaswa hatua za kisheria zilichukuliwe kwa wahusika wote kwa udanganyifu kwa jamii.
Tazama video
 
Msaada tutani kwenye video kama kuna udanganyifu au la ! Kama ni kweli hajachoma sindano ya chanjo ya covid-19; inapaswa hatua za kisheria zilichukuliwe kwa wahusika wote kwa udanganyifu kwa jamii.
Tazama video

Tayari serikali imechukua hatua Kwa WATUMISHI wake walifanya igizo la upotoshaji kuhusu Chanjo ya COVID-19 Kwa Jamii.

Soma taarifa hapa chini

IMG_20210806_195339_102.jpg
 
Askofu Josephat Gwajima ameandika hivi punde kwenye ukurasa wake wa Facebook kwamba kabla hujaongea kuhusu mimi lazima utafakari sana kwanza.

Familia zangu zipo nne ambazo ni:-

Familia ya Ufufuo na Uzima
Familia ya Waislamu
Familia ya Watanzania
Na familia ya wasionipenda (Assigned to sharpen me)

Take your enemies as an advantage of your tomorrow
Chukua adui zako kama watu ambao Mungu amewaleta kukuonoa

Enemies are part and parcel of our life
The country is a component of diversity people

Mimi nimeamua kuchagua upande wa ‘La’ kwasababu hii chanjo haijafanyiwa utafiti wa kutosha kwahiyo siwezi ruhusu familia yangu iwe sehemu ya utafiti.

Mungu na wakati ni hakimu wa haki wasiopendelea

Unapoona matukio ya kidunia yanalenga kuleta kuibua kitu, mfano kipindi cha vita ya kwanza ya dunia ilipigana nakuleta Umoja wa mataifa. Dunia ina mifumo yake ambayo haya yanayoonekana ni udhihirisho wa matokeo ya hiyo mifumo.

Agenda ya Chanjo sio yakuitazamia sana kuliko matokeo au kinachozaliwa baada ya hiyo chanjo. Kinachoenda kuzaliwa kutoka kwenye hii chanjo ni TOTAL CONTROL.

Unapochanjwa unasajiliwa, hizo chanjo zina serial number.

The country does require the ‘YOUNG BRAIN’

Watu ambao hatujachanjwa tufanye nini:-

1. Tubu dhambi

‘ Mshahara wa dhambi ni mauti’ hivyo unatakiwa kutubu dhambi kwa Mungu. Muombe Mungu msamaha ili uwe safi.

Epuka hofu

Stadi zinaonyesha kuwa hofu husababisha kinga ya mwili. Kwenye mitandao epukana na taarifa zenye kuleta hofu

Chagua cha kusikiliza
Kama vile imani inavyokuja kwa kusikia ndivyo na hofu huja kwa kusikia hivyo chagua cha kusikiliza.

Usijiandae kuugua
Unapoamka usianze kuzitafuta au kujihisi kuugua AMKA KAFANYE KAZI

Fanya Mazoezi

Mazoezi ni kwaajili ya kila mtu kwahiyo ukiamka asubuhi tengeneza utaratibu wakufanya mazoezi

Kula chakula chenye vitamin C

VITAMIN C ni kirutubisho cha aina yake kinaitwa Water soluble kwamba baada ya muda ina kuyeyuka kwenye mwili kwahivyo haikai sana hivyo kila siku lazima uwe unautaratibu wa kula matunda kama Machungwa, mapapai, mapera n.k

Kula chakula chenye ZINC (Zn) ambayo hupatikana kwenye vyakula ua viungo kama Ginger (tangawizi), Cashews(Korosho),Almonds (Lozi) n.k

Fanya kazi

Mzungu hawezi kukupa kitu cha bure lazima kuwe na malipo yake kwahiyo kama taifa lazima tufanye kazi.

Chunga ulimi wako

“Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake.”Mit‬hali 18:21

Chunga unachokisema kwa kinywa chako.

View attachment 1878714

View attachment 1878715

Mwisho unaweza kurejea mahubiri yake ya 01-08-2021 Kwa watu wake kupitia ufunguo huu


Leo hii Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima, amekanusha madai kuwa amelishwa sumu kutokana na msimamo wake kuhusu chanjo.

Askofu huyo ameeleza kuwa hajalishwa sumu, hakuna wa kumfanyia hivyo.

Akizungumza leo Jumapili Agosti 8, 2021 wakati wa ibada kanisani kwake kuwa, “Wanataka kusingizia watu, labda kusingizia kwamba serikali imeninywesha sumu. Niwahakikishie kwamba hakuna serikali imemnywesha sumu Gwajima kwa kuwa serikali ndiyo inasema chanjo ni hairi. Hakuna wa kuninywesha sumu na hatotokea.
Askofu huyo ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Kawe alizungumzia pia suala la chanjo huku akisema suala la afya ya mtu linapaswa kulindwa na mtu mwenyewe.

“Labda nitoe changamoto kwa wanaojiita watalaam waje walete andiko linaloonyesha kemikali zilizopo kwenye chanjo.

Hata hivyo, Mkurugenzi wa kuratibu utafiti wa taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu (NIMR) Dk Paul Kazyoba ameeleza kuwa chanjo hiyo ni salama na imeanza kutolewa baada ya tafiti nyingi kufanyika na kujiridisha usalama wake.
 
Back
Top Bottom