Hakuna mwanadamu anayeweza mbadili binadamu mwenzake ikiwa binadamu huyo hajaamua kubadilika, na huwezi mfanya aamue abadilike.Pole Mkuu. Katika kuchagua hakuna formula. Lakini una nafasi ya kumbadilisha mwenza wako kupitia wewe kama ukisimama imara kwenye misimamo sahihi na ya kiuanaume. Less emotions more actions. Be hard man, you have alot in life apart from a woman.
Hii sentensi ya mwisho ungebold kabisa.Standard nyingi utasema mkifa mnazikwa na mbususu kaburini..!!
Msichojua hao wanaojiheshimu wanawaficha msijue wala msione Ila ni wagawaji wazuri mfano hakuna..!!
Acha akili za kijinga.Kua kwenye open relationship inapunguza changamoto nyingi
Mkidate/mkiishi pamoja mda mrefu peaneni space inarenew upendo & hisia
Ujinga hapo upo wapi?Acha akili za kijinga.
Ha haha Leo watu hamuwajui single mamasingle mother ndo akina nani
Eeeh eeh Tena??mi siwajui! mi nachojua kuna wanawake ni nyoko hivyo tusicheze nao watatuuma!
Mi mzima ila sio mrembo ππndo hivyo.. vipi lakini haujambo mrembo..?
Mie sio wa 2000kwanini unasema sio mrembo
Amini maneno yangu tuNitaamini vipi...?
Unataka?????π³sitaki maneno..!
Sijakucheka, nimecheka tu jinsi mapenzi yanavyosumbua .ndo unicheke...?