Hakuna mwanadamu anayeweza mbadili binadamu mwenzake ikiwa binadamu huyo hajaamua kubadilika, na huwezi mfanya aamue abadilike.Pole Mkuu. Katika kuchagua hakuna formula. Lakini una nafasi ya kumbadilisha mwenza wako kupitia wewe kama ukisimama imara kwenye misimamo sahihi na ya kiuanaume. Less emotions more actions. Be hard man, you have alot in life apart from a woman.