Msitarajie Man City kumfunga Man Utd

Msitarajie Man City kumfunga Man Utd

Typo mkuu!!

All in all, we won, united forever!!
Ungeficha ujinga wako sasa mkuu maana uliandika kwa capital letter which means ulikuwa unamaanisha uko sahihi but siku nyingne jitahidi kuzuia mihemko isitawale akili yako
 
Hesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL.

Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na Man City pale Etihad. Hivyo itawafanya Guardiola na Man City yake kusubiria mpaka wiki ijayo watakapocheza Na Spurs ndio walau wanaweza wakatangaza Ubingwa.

Wazee wa Mikeka nimewapa angalizo, asiyesikia la Mkuu....

Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park

Povu ruksa...
Mkuu vipi na maandamano yatakuwepo maana wewe mtabili mzuri.
 
Ungeficha ujinga wako sasa mkuu maana uliandika kwa capital letter which means ulikuwa unamaanisha uko sahihi but siku nyingne jitahidi kuzuia mihemko isitawale akili yako
Naona una stress sana mkuu, huyo ndio mourinho bana a. k. a zee tactics!! Huwezi mfunga kijinga tuu!!

Pole sana!!

2-3 [HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
 
Hesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL.

Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na Man City pale Etihad. Hivyo itawafanya Guardiola na Man City yake kusubiria mpaka wiki ijayo watakapocheza Na Spurs ndio walau wanaweza wakatangaza Ubingwa.

Wazee wa Mikeka nimewapa angalizo, asiyesikia la Mkuu....

Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park

Povu ruksa...
Ahsante mkuu, yametimia.It was a fantastic derby.
Wengi walikuwa wanaiombea Man Utd mabaya,lakini performance ya timu imekuwa rafiki na imetoa matokeo.
Ahsante Mungu.
Ahsante Mourinho.
Ahsante benchi la ufundi na menejimenti nzima ya timu.
Ahsante sana wachezaji wote.
Ahsante sana fans wooooote.
This is EPL...!
 
Back
Top Bottom