Ungeficha ujinga wako sasa mkuu maana uliandika kwa capital letter which means ulikuwa unamaanisha uko sahihi but siku nyingne jitahidi kuzuia mihemko isitawale akili yakoTypo mkuu!!
All in all, we won, united forever!!
Mkuu vipi na maandamano yatakuwepo maana wewe mtabili mzuri.Hesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL.
Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na Man City pale Etihad. Hivyo itawafanya Guardiola na Man City yake kusubiria mpaka wiki ijayo watakapocheza Na Spurs ndio walau wanaweza wakatangaza Ubingwa.
Wazee wa Mikeka nimewapa angalizo, asiyesikia la Mkuu....
Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park
Povu ruksa...
Naona una stress sana mkuu, huyo ndio mourinho bana a. k. a zee tactics!! Huwezi mfunga kijinga tuu!!Ungeficha ujinga wako sasa mkuu maana uliandika kwa capital letter which means ulikuwa unamaanisha uko sahihi but siku nyingne jitahidi kuzuia mihemko isitawale akili yako
Ndoo ya kuogea auendelea kujidanganya...llazma ndoo inyanyuliwe leo
Sinywi,.....ova.Kama nakuona ulivyo na plesha pole sana kunywa maji itashuka
achana na mimiNdoo ya kuogea au
Mbona umepanik? Au umeshachana??acha
achana na mimi
Ahsante mkuu, yametimia.It was a fantastic derby.Hesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL.
Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na Man City pale Etihad. Hivyo itawafanya Guardiola na Man City yake kusubiria mpaka wiki ijayo watakapocheza Na Spurs ndio walau wanaweza wakatangaza Ubingwa.
Wazee wa Mikeka nimewapa angalizo, asiyesikia la Mkuu....
Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park
Povu ruksa...
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]endelea kujidanganya...llazma ndoo inyanyuliwe leo
Teh teh teh teh...!Man U 1- Man City 2.
Pogba atafunga kwa Man U.
Magoli ya Man City yatafungwa Na back Na lingine defending midfielder
Mkuu uliotea...!Sio mourinho huyo..jamaa ana roho mbaya..lazma ambanie mtu leo...na game baada ya leo man city atadroo man u atashinda..ndo hapo ubingwa utaposogea mbele
Mule mule.Ndugu zako hawashindi leo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Leo Manchester united anakufa vizuri mno
Mkuu utakua umeumia vibaya sanaKausha basi,kwani ungeuchuna ungepungukiwa nini?
hadi wewe una bet?Hahaaa.
Teh...!First half ndoioooooooooo inayeyaaa [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc Smart911
VIVA 4EVER.Viva man u