Msitarajie Man City kumfunga Man Utd

Wewe Fortaleza kweli
 
Hahahahahaha

Ila sane jana walimuachia sana akimbize mpira japo walijitahidi kumdhibiti.

Na janja Pep Guardiola ni mashambulizi kupitia pembeni, lakini Klopp aliziba njia zote na Shuti Target hata moja hawakupiga.
Aah ubingwa wakachukulie Toty .. Hukoo
 
we unaujua mpira,

jameni nyie wazwazwa muwe mnaunga hoja nzito kama hizi,,

hii game ilikuwa lazime man cty afe

kwa kuwa anafikilia liverpool,

wazee wa betting tuliweka GG [emoji16] [emoji23] [emoji123]
 
Mtoa Mada na Man U yake anafukuza upepo....2nd half lazma Man City waongeze 2 mm ni mshabiki wa Man U lakini hatuchomoki hapa....
Shabiki gani wewe kamuulize buyern habar za kutangulia na baiskel za udongo wakat mbele kuna mvua
 
ToT atakomaa ila atagongwa tu.
City atakuja na hasira za kutolewa UEFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…