GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
"Polisi msiwe na Upande wa Siasa..Tunataka Polisi iwe huru na isibague watu kadri ya Mitizamo yao ya Siasa. Tunataka Polisi iwalinde ndugu zetu wa Upinzani sawa na Inavyowalinda walio Serikalini sababu sisi ni wamoja na wote tunalipa kodi” Rais wa Kenya William Ruto
Chanzo: Mitandao ya Kenya
Wale wa 'Bwege Nation' wao watakachokifanya ni Kuwapiga, Kuwatesa na hata Kuwajeruhi ili Wanaemtetea awakumbuke katika Teuzi za Nyadhifa mbalimbali.
Chanzo: Mitandao ya Kenya
Wale wa 'Bwege Nation' wao watakachokifanya ni Kuwapiga, Kuwatesa na hata Kuwajeruhi ili Wanaemtetea awakumbuke katika Teuzi za Nyadhifa mbalimbali.