Msitu wa ajabu wenye Maelfu ya Mbuzi wa maajabu wasio na mwenyewe

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Sio hadithi ni ukweli na sio Ulaya ni Tanzania iliyojaa vivutio na neema za kufurahisha na kuogofya. Ukitoka Mbeya mjini panda gari zinazoelekea mkoa wa Songwe wilaya ya Ileje, bila shaka utachukua gari ya Moja Kwa Moja mpaka Isongole kupitia Mpemba.

Ukifika hapo Isongole panda gari inayoelekea Undali. Hautaijutia safari yako, hali ya hewa utakayoanza kukutana nayo haitofautiani Sana baadhi ya maeneo yaliyopo Australia na Denmark. Msimu wa mvua ni mrefu zaidi na kiujumla kuna misitu ile halisi ambayo hata mchana unaweza kutumia tochi.

Kuna misitu kama Katengele, misitu ya Luswisi na misitu iliyopo mpakani mwa wilaya hii ya Ileje na wilaya ya Rungwe. Nenda mpaka Ngulugulu maeneo hayo gari hazifiki muda wote itakulazimu utumie pikipiki au utembee Kwa miguu. Mara yangu ya mwisho kutembelea misitu hii ilikuwa Desemba mwaka jana!!

Ukifika hapa Ngulugulu muulize mtu yeyote naenda kwenye Msitu wenye mbuzi wengi utaelekezwa bila shida yoyote!! Nakumbuka mwenyeji wangu Mzee Masebo alinitahadharisha umbali uliopo kutoka pale kijijini ili kuwafikia mbuzi hao.

Kwa kuwa nilikuwa na shauku ya kuwaona na kuprove sikuona shida, tulianza safari saa 11 alfajiri kuiingia Msituni Kwa kufuata kinjia kidogo sana ambacho hata pikipiki haiwezi kupita, ilikuwa safari ndefu kidogo lakini kabla ya kufika tunakoenda yule mzee alinipa historia fupi ya chanzo na asili ya mbuzi hao, kwanza alikuwa Mzee mcheshi sana anaekuondolea hofu hata usiogope chochote.

Mzee yule alianza kwa kuniambia wale mbuzi ni halisi, sio wanyama pori ni mbuzi halisi.. inasemekana miaka ya zamani kidogo kuna Mzee alikuwa akiishi kwenye misitu hiyo ambapo alikuwa na mke na watoto wake. Kazi kubwa aliyokuwa akiifanya ni ufugaji wa mbuzi na kondoo pamoja na uvuvi katika mto Kiwira ambao umepita pembezoni kuizunguka hiyo misitu.

Inasemekana kuna watu walikuwa wanaenda kwenye misitu hiyo kumvamia na kuiba mifugo yake, alichoshwa sana na Hali hiyo ndipo akaamua kutafuta zindiko Kali sana ambalo lilifanya mtu yeyote asiweze kuiba mifugo yake tena!! Huwezi kuondoka na mbuzi na ukafika popote pale kama hajakupa yeye!! Na dawa ya kuwagangua mbuzi hao aliijua mwenyewe na aliogopa kuwaonyesha watoto Kwa kuhofiwa hata wao wataweza kuiba.

Miaka mingi ilipita inasemekana huyo Mzee alifariki ghafla Kwa kuumwa na nyoka!! Akafa bila kusema chochote! Wale mbuzi na kondoo ikawa ngumu kuwatumia Kwa namna yoyote iwe Kwa biashara ama Kwa kitoweo. Hakukuwa na namna, kutokana na Mbuzi wale kuendelea kuzaliana walijikuta Msitu wote umetapakaa mbuzi ambao hakuna anaeweza kuwatumia na hapo ndipo chimbuko la ukoo wa akina Mwambene, hilo jina alipewa huyo mzee likimaanisha (mwenye mbuzi).

Mahali popote ukimsikia mtu anaitwa Kwa ukoo wa Mwambene basi chimbuko lao ni yule Mzee!! Stori hii ya Mzee Masebo ilinifanya nipate shauku zaidi ya kuwaona mbuzi hao!! Huwezi kuamini tulianza kuhisi harufu tofauti kadiri tulivyokuwa tunaisogolea misitu mikubwa zaidi, harufu nzito kama ya zizi na harufu ya mbuzi''

Sikuamini macho yangu baada ya kuanza kukutana na makundi makubwa ya mbuzi!! Nasema makundi makubwa sio mchezo ule Msitu umetapakaa mbuzi Kila Kona!! Mbuzi wamenona wengine ni wazee sana; wapo wanaokufa wenyewe Kwa uzee na ama kuliwa na wanyama wengine lakini mpaka Leo hakuna binadamu anaeweza kuwatumia Kwa lolote iwe kitoweo au biashara!

Kwa sasa hawana mwenyewe na hakuna anaeweza kuiba au kuwachukua!! Ni Maelfu na mamia ya mbuzi nenda hata Leo utajionea hayo maajabu!! Cha kushangaza wale mbuzi hawaogopi binadamu unaweza ukafika Mahali walipolala na ukakaa hapo usitegemee kama watakimbia ama kukuogopa 'tuseme ni mbuzi waliojaa kiburi sana!

Ukitoka hapo utasogea mbele zaidi labda umbali wa kutoka Kibaha mpaka Chalinze humo kote mbuzi wametapakaa!! Kivutio kingine ni mto Kiwira na daraja la Kityeputyepu!!! Ukiangalia ng'ambo ya mto unayaona maporomoko ya mto Kara! Uliopo upande wa Tukuyu!

Nchi hii bado ina mengi ya kushangaza na kuvumbuliwa '' kama kuna mtaalamu anaeweza kuwazindua mbuzi wale wakaanza kutumika basi kule Kuna mamilioni ya pesa!! Sijajua kama Serikali Ina mpango gani na wale mbuzi ' '

Mimi mganguzi nimemaliza!!
 
Sio hadithi ni ukweli ,na sio ulaya ni tanzania iliyojaa vivutio na neema za kufurahisha na kuogofya.Ukitoka mbeya mjini panda gari zinaelekea mkoa wa songwe wilaya ya ileje ,bila shaka utachukua gari ya Moja Kwa Moja mpaka isongole kupitia mpemba. Ukifika hapo isongole panda gari inayoelekea undali .hautaijutia safari Yako , Hali ya hewa utakayoanza kukutana nayo haitofautiani Sana baadhi ya maeneo yaliyopo Australia na Denmark. Msimu wa mvua ni mrefu zaidi na kiujumla Kuna misitu Ile halisi ambayo hata mchana unaweza kutumia tochi ..kuna misitu kama Katengele ,misitu ya luswisi na misitu iliyopo mpakani mwa wilaya hii ya ileje na wilaya ya rungwe..nenda mpaka ngulugulu maeneo hayo gari hazifiki muda wote itakulazimu utumie pikipiki au utembee Kwa miguu..mara yangu ya mwisho kutembelea misitu hii ilikuwa desemba mwaka jana!! Ukifika hapa ngulugulu muulize mtu yeyote naenda kwenye Msitu wenye mbuzi wengi utaelekezwa bila shida yoyote !! Nakumbuka mwenyeji Mzee masebo alinitahadharisha umbali uliopo kutoka pale kijijini ili kuwafikia mbuzi hao ,Kwa kuwa shauku yangu ilikuwa nikuprove sikuona shida ,tulianza safari saa 11 alfajiri kuiingia Msituni Kwa kufuata kinjia kidogo sana ambacho hata pikipiki haiwezi kupita ,ilikuwa safari ndefu kidogo lakini kabla ya kufika tunakoenda yule alinipa historia fupi ya chanzo na asili ya mbuzi hao ,,kwanza alikuwa Mzee mcheshi sana anaekuondolea hofu hata usiogope chochote ,,Mzee amesema alianza kwa kuniambia wale mbuzi ni halisi ,sio wanyama pori ni mbuzi halisi..inasemekana miaka ya zamani kidogo kuna Mzee alikuwa akiishi kwenye misitu hiyo ambapo alikuwa na mke na watoto wake .kazi kubwa aliyokuwa akiifanya ni ufugaji wa mbuzi na kondoo pamoja na uvuvu katika mto kiwira ambao umepita pembezoni kuizunguka hiyo misitu. Inasemekana Kuna watu walikuwa wanaenda kwenye misitu hiyo kumvamia na kuiba mifugo yake ,alochoshwa sana na Hali hiyo ndipo akaamua kutafuta zindiko Kali sana ambalo lilifanya mtu yeyote asiweze kuiba mifugo yake tena !! Huwezi kuondoka na mbuzi na ukafika popote pale kama hahakupa yeye !! Na dawa ya kuwagangua mbuzi hao aliijua mwenyewe na aliogopa kuwaonyesha watoto Kwa kuhofiwa hata wao wataweza kuiba..miaka mingi ilipita inasemekana huyo Mzee alifariki ghafla Kwa kuumwa na nyoka !! Akafa bila kusema chochote ! Wale mbuzi na kondoo ikawa ngumu kuwatumia Kwa namna yoyote iwe Kwa biashara ama Kwa kitoweo.hakukuwa na namna .kutokana na Mbuzi wale kuendelea kuzaliana walijikuta Msitu wote umetapakaa mbuzi ambao hakuna anaeweza kuwatumia ,na hapo ndipo chimbuko la ukoo wa akina mwambene ,hilo jina alipewa huyo mzee likimaanisha (mwenye mbuzi) Mahalia popote ukimsikia mtu ana ukoo wa mwambene basi chimbuko lao ni yule Mzee!! Stori hii ya Mzee masebo ilinifanya nipate shauku zaidi ya kuwaona mbuzi hao !! Huwezi kuamini tulianza kuhisi harufu tofauti kadili tulivyokuwa tunaisogolea misitu mikubwa zaidi ,harufu nzito kama ya zizi na harufu ya mbuzi '' sikuamini macho yangu baada ya kuanza kukutana na makundi makubwa ya mbuzi !! Nasema makundi makubwa sio mchezo ule Msitu umetapakaa mbuzi Kila Kona!! Mbuzi wamenona wengine ni wazee sana ;wapo wanaokufa wenyewe Kwa uzee na ama kuliwa na wanyama wengine lakini mpaka Leo hakuna binadamu anaeweza kuwatumia Kwa lolote iwe kitoweo au biashara ! Kwa sasa hawana mwenyewe na hakuna anaeweza kuiba au kuwachukua !! Ni Maelfu na mamia ya mbuzi nenda hata Leo utajionea hayo maajabu!! Cha kushangaza wale hawaogopi binadamu unaweza ukafika Mahalia walipolala na ukakaa hapo usitegemee kama watakimbia ama kukuogopa 'tuseme ni mbuzi waliojaa kiburi sana! Ukitoka hapo utasogea mbele zaidi labda umbali wa kutoka kibaha mpaka chalinze humo kote mbuzi wametapakaa!! Kivutio kingine ni mto kiwira na daraja la kityeputyepu !!! Ukiangalia ng'ambo ya mto unayaona maporomoko ya mto Kara! Uliopo upande wa tukuyu ! N hi hii bado ins mengi ya kushangaza na kuvumbuliwa '' kama Kuna mtaalamu anaeweza kuwazindua mbuzi wale wakaanza kutumika basi kule Kuna mamilioni ya pesa !! Sijajua kama serikali Ina mpango gani na wale mbuzi ' ' Mimi mganguzi nimemaliza !!
Watu wameweka password...tena hizi kama hauko fiti ukijaribu kuzitoa unaweza umbuka
 
Dah havisomeki umeshindwa hata kuweka paragraph?
 
Kusoma inataka moyo
Hapa nimepata kizunguzungu mpaka nimeacha nitasoma comments baadae
Story haina kupumzika ni tatatqyyqyqyqyqyatatatatatttatagaahajbdhhdjssdjdbdbvddvhdbdjsi4ijrjhgevddggdvsvgjdbddhddieeinbxbvxnzmmznnzbxzbbxxnxnxxbxbdndnsbxhdjidihdgsgshjskdkhsghdjshdhdbdhjddnbbdhdjsjjd
 
1664140734906.png
 
Sio hadithi ni ukweli ,na sio ulaya ni tanzania iliyojaa vivutio na neema za kufurahisha na kuogofya.Ukitoka mbeya mjini panda gari zinazoelekea mkoa wa songwe wilaya ya ileje ,bila shaka utachukua gari ya Moja Kwa Moja mpaka isongole kupitia mpemba. Ukifika hapo isongole panda gari inayoelekea undali .hautaijutia safari Yako , Hali ya hewa utakayoanza kukutana nayo haitofautiani Sana baadhi ya maeneo yaliyopo Australia na Denmark. Msimu wa mvua ni mrefu zaidi na kiujumla Kuna misitu Ile halisi ambayo hata mchana unaweza kutumia tochi ..kuna misitu kama Katengele ,misitu ya luswisi na misitu iliyopo mpakani mwa wilaya hii ya ileje na wilaya ya rungwe..nenda mpaka ngulugulu maeneo hayo gari hazifiki muda wote itakulazimu utumie pikipiki au utembee Kwa miguu..mara yangu ya mwisho kutembelea misitu hii ilikuwa desemba mwaka jana!! Ukifika hapa ngulugulu muulize mtu yeyote naenda kwenye Msitu wenye mbuzi wengi utaelekezwa bila shida yoyote !! Nakumbuka mwenyeji wangu Mzee masebo alinitahadharisha umbali uliopo kutoka pale kijijini ili kuwafikia mbuzi hao ,Kwa kuwa nilikuwa na shauku ya kuwaona nakuprove sikuona shida ,tulianza safari saa 11 alfajiri kuiingia Msituni Kwa kufuata kinjia kidogo sana ambacho hata pikipiki haiwezi kupita ,ilikuwa safari ndefu kidogo lakini kabla ya kufika tunakoenda yule mzee alinipa historia fupi ya chanzo na asili ya mbuzi hao ,,kwanza alikuwa Mzee mcheshi sana anaekuondolea hofu hata usiogope chochote ,,Mzee yule alianza kwa kuniambia wale mbuzi ni halisi ,sio wanyama pori ni mbuzi halisi..inasemekana miaka ya zamani kidogo kuna Mzee alikuwa akiishi kwenye misitu hiyo ambapo alikuwa na mke na watoto wake .kazi kubwa aliyokuwa akiifanya ni ufugaji wa mbuzi na kondoo pamoja na uvuvi katika mto kiwira ambao umepita pembezoni kuizunguka hiyo misitu. Inasemekana Kuna watu walikuwa wanaenda kwenye misitu hiyo kumvamia na kuiba mifugo yake ,alochoshwa sana na Hali hiyo ndipo akaamua kutafuta zindiko Kali sana ambalo lilifanya mtu yeyote asiweze kuiba mifugo yake tena !! Huwezi kuondoka na mbuzi na ukafika popote pale kama hahakupa yeye !! Na dawa ya kuwagangua mbuzi hao aliijua mwenyewe na aliogopa kuwaonyesha watoto Kwa kuhofiwa hata wao wataweza kuiba..miaka mingi ilipita inasemekana huyo Mzee alifariki ghafla Kwa kuumwa na nyoka !! Akafa bila kusema chochote ! Wale mbuzi na kondoo ikawa ngumu kuwatumia Kwa namna yoyote iwe Kwa biashara ama Kwa kitoweo.hakukuwa na namna .kutokana na Mbuzi wale kuendelea kuzaliana walijikuta Msitu wote umetapakaa mbuzi ambao hakuna anaeweza kuwatumia ,na hapo ndipo chimbuko la ukoo wa akina mwambene ,hilo jina alipewa huyo mzee likimaanisha (mwenye mbuzi) Mahali popote ukimsikia mtu anaitwa Kwa ukoo wa mwambene basi chimbuko lao ni yule Mzee!! Stori hii ya Mzee masebo ilinifanya nipate shauku zaidi ya kuwaona mbuzi hao !! Huwezi kuamini tulianza kuhisi harufu tofauti kadili tulivyokuwa tunaisogolea misitu mikubwa zaidi ,harufu nzito kama ya zizi na harufu ya mbuzi '' sikuamini macho yangu baada ya kuanza kukutana na makundi makubwa ya mbuzi !! Nasema makundi makubwa sio mchezo ule Msitu umetapakaa mbuzi Kila Kona!! Mbuzi wamenona wengine ni wazee sana ;wapo wanaokufa wenyewe Kwa uzee na ama kuliwa na wanyama wengine lakini mpaka Leo hakuna binadamu anaeweza kuwatumia Kwa lolote iwe kitoweo au biashara ! Kwa sasa hawana mwenyewe na hakuna anaeweza kuiba au kuwachukua !! Ni Maelfu na mamia ya mbuzi nenda hata Leo utajionea hayo maajabu!! Cha kushangaza wale mbuzi hawaogopi binadamu unaweza ukafika Mahalia walipolala na ukakaa hapo usitegemee kama watakimbia ama kukuogopa 'tuseme ni mbuzi waliojaa kiburi sana! Ukitoka hapo utasogea mbele zaidi labda umbali wa kutoka kibaha mpaka chalinze humo kote mbuzi wametapakaa!! Kivutio kingine ni mto kiwira na daraja la kityeputyepu !!! Ukiangalia ng'ambo ya mto unayaona maporomoko ya mto Kara! Uliopo upande wa tukuyu ! Nchi hii bado ina mengi ya kushangaza na kuvumbuliwa '' kama Kuna mtaalamu anaeweza kuwazindua mbuzi wale wakaanza kutumika basi kule Kuna mamilioni ya pesa !! Sijajua kama serikali Ina mpango gani na wale mbuzi ' ' Mimi mganguzi nimemaliza !!
Uandishi mbaya kuwahi kutokea duniani

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Hii ni kweli na nimeshuhudia kwa macho yangu ni maajabu lakini ni kweli na mbuzi ni wengi
 
Back
Top Bottom