Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa sio mahakamani kwamba lazima nikuletee wewe ushahidi kama hujaamini unapita kimyaHizi ni stories tu za kupitisha muda....haiingii akilini uende huko kote ushindwe kupata kaushahidi hata ka picha kadhaa.... Mkikaa tu watu mnawaza nitoke vipi.
Acha wivuDah havisomeki umeshindwa hata kuweka paragraph?
Sasa usilete habari za vijiweni wanazosimulia wenzio... Ukiishi maisha hayo utapata shida sana. Wanaume ukisikia jambo unachunguza unapata ushahidi ndo unaeleza wengine. Ukiwa mbea wanawake huwa nasikia wanasutana. Sisi huku tunakwambia tu... WEKA USHAHIDI.Hapa sio mahakamani kwamba lazima nikuletee wewe ushahidi kama hujaamini unapita kimya
Siku nikifika hapo nachinja mmoja tumbanike ndafu na pilipiliSio hadithi ni ukweli na sio Ulaya ni Tanzania iliyojaa vivutio na neema za kufurahisha na kuogofya. Ukitoka Mbeya mjini panda gari zinazoelekea mkoa wa Songwe wilaya ya Ileje, bila shaka utachukua gari ya Moja Kwa Moja mpaka Isongole kupitia Mpemba.
Ukifika hapo Isongole panda gari inayoelekea Undali. Hautaijutia safari yako, hali ya hewa utakayoanza kukutana nayo haitofautiani Sana baadhi ya maeneo yaliyopo Australia na Denmark. Msimu wa mvua ni mrefu zaidi na kiujumla kuna misitu ile halisi ambayo hata mchana unaweza kutumia tochi.
Kuna misitu kama Katengele, misitu ya Luswisi na misitu iliyopo mpakani mwa wilaya hii ya Ileje na wilaya ya Rungwe. Nenda mpaka Ngulugulu maeneo hayo gari hazifiki muda wote itakulazimu utumie pikipiki au utembee Kwa miguu. Mara yangu ya mwisho kutembelea misitu hii ilikuwa Desemba mwaka jana!!
Ukifika hapa Ngulugulu muulize mtu yeyote naenda kwenye Msitu wenye mbuzi wengi utaelekezwa bila shida yoyote!! Nakumbuka mwenyeji wangu Mzee Masebo alinitahadharisha umbali uliopo kutoka pale kijijini ili kuwafikia mbuzi hao.
Kwa kuwa nilikuwa na shauku ya kuwaona na kuprove sikuona shida, tulianza safari saa 11 alfajiri kuiingia Msituni Kwa kufuata kinjia kidogo sana ambacho hata pikipiki haiwezi kupita, ilikuwa safari ndefu kidogo lakini kabla ya kufika tunakoenda yule mzee alinipa historia fupi ya chanzo na asili ya mbuzi hao, kwanza alikuwa Mzee mcheshi sana anaekuondolea hofu hata usiogope chochote.
Mzee yule alianza kwa kuniambia wale mbuzi ni halisi, sio wanyama pori ni mbuzi halisi.. inasemekana miaka ya zamani kidogo kuna Mzee alikuwa akiishi kwenye misitu hiyo ambapo alikuwa na mke na watoto wake. Kazi kubwa aliyokuwa akiifanya ni ufugaji wa mbuzi na kondoo pamoja na uvuvi katika mto Kiwira ambao umepita pembezoni kuizunguka hiyo misitu.
Inasemekana kuna watu walikuwa wanaenda kwenye misitu hiyo kumvamia na kuiba mifugo yake, alichoshwa sana na Hali hiyo ndipo akaamua kutafuta zindiko Kali sana ambalo lilifanya mtu yeyote asiweze kuiba mifugo yake tena!! Huwezi kuondoka na mbuzi na ukafika popote pale kama hajakupa yeye!! Na dawa ya kuwagangua mbuzi hao aliijua mwenyewe na aliogopa kuwaonyesha watoto Kwa kuhofiwa hata wao wataweza kuiba.
Miaka mingi ilipita inasemekana huyo Mzee alifariki ghafla Kwa kuumwa na nyoka!! Akafa bila kusema chochote! Wale mbuzi na kondoo ikawa ngumu kuwatumia Kwa namna yoyote iwe Kwa biashara ama Kwa kitoweo. Hakukuwa na namna, kutokana na Mbuzi wale kuendelea kuzaliana walijikuta Msitu wote umetapakaa mbuzi ambao hakuna anaeweza kuwatumia na hapo ndipo chimbuko la ukoo wa akina Mwambene, hilo jina alipewa huyo mzee likimaanisha (mwenye mbuzi).
Mahali popote ukimsikia mtu anaitwa Kwa ukoo wa Mwambene basi chimbuko lao ni yule Mzee!! Stori hii ya Mzee Masebo ilinifanya nipate shauku zaidi ya kuwaona mbuzi hao!! Huwezi kuamini tulianza kuhisi harufu tofauti kadiri tulivyokuwa tunaisogolea misitu mikubwa zaidi, harufu nzito kama ya zizi na harufu ya mbuzi''
Sikuamini macho yangu baada ya kuanza kukutana na makundi makubwa ya mbuzi!! Nasema makundi makubwa sio mchezo ule Msitu umetapakaa mbuzi Kila Kona!! Mbuzi wamenona wengine ni wazee sana; wapo wanaokufa wenyewe Kwa uzee na ama kuliwa na wanyama wengine lakini mpaka Leo hakuna binadamu anaeweza kuwatumia Kwa lolote iwe kitoweo au biashara!
Kwa sasa hawana mwenyewe na hakuna anaeweza kuiba au kuwachukua!! Ni Maelfu na mamia ya mbuzi nenda hata Leo utajionea hayo maajabu!! Cha kushangaza wale mbuzi hawaogopi binadamu unaweza ukafika Mahali walipolala na ukakaa hapo usitegemee kama watakimbia ama kukuogopa 'tuseme ni mbuzi waliojaa kiburi sana!
Ukitoka hapo utasogea mbele zaidi labda umbali wa kutoka Kibaha mpaka Chalinze humo kote mbuzi wametapakaa!! Kivutio kingine ni mto Kiwira na daraja la Kityeputyepu!!! Ukiangalia ng'ambo ya mto unayaona maporomoko ya mto Kara! Uliopo upande wa Tukuyu!
Nchi hii bado ina mengi ya kushangaza na kuvumbuliwa '' kama kuna mtaalamu anaeweza kuwazindua mbuzi wale wakaanza kutumika basi kule Kuna mamilioni ya pesa!! Sijajua kama Serikali Ina mpango gani na wale mbuzi ' '
Mimi mganguzi nimemaliza!!
PouwaKaribu sana mshana nitakuescot
Wapi Mshana jr ? Utajiri umejificha huko sisi tunalia lia na tozo hapa.Sio hadithi ni ukweli na sio Ulaya ni Tanzania iliyojaa vivutio na neema za kufurahisha na kuogofya. Ukitoka Mbeya mjini panda gari zinazoelekea mkoa wa Songwe wilaya ya Ileje, bila shaka utachukua gari ya Moja Kwa Moja mpaka Isongole kupitia Mpemba.

Jina, na Kiko mkoa ganiKuna kisiwa kimoja kipo ziwa Tanganyika hakikaliwi na mtu ni kizuri mchana usiku ukifika ni full vituko mfano ukiwa umelala utamwagiwa mchanga pasi kumuona anaye fanya hivyo.
Sangoma unakwama wapi kamanda ?? Utajiri nje njeNitafanya ziara huko
Tufanye mpango twende huko tukilitegua hii tego tumeula nakwambiaWapi Mshana jr ? Utajiri umejificha huko sisi tunalia lia na tozo hapa.
Ngoja kwanza nipate chords zakeSangoma unakwama wapi kamanda ?? Utajiri nje nje
Unapotea njiaUkijaribu kumchukua mmoja bwana mwamene
Ile ni pesa ya jumuiya ina chords zake, ni ngumu kutoka from nowhere useme unataka kuzizindika! Wakutoa kibali ninani?Wazee wanaweza zuia wizi wa mbuzi ila wa pesa serikalini hawawezi. [emoji17][emoji17]