Msitu wa ajabu wenye Maelfu ya Mbuzi wa maajabu wasio na mwenyewe

Wewe kweli mndali hapo nyuma Kuna chikumbulu ,chikota na katengele
Hahaha huko kwetu mkuu nimekulia huko hivyo ni mtu ambae mila nyingi za huko nazielewa vizr mno chikota kkk lugombo kinyika ikuti lubangalala luswisi mtula sange katengele isoko bupigu ibungu hapo niko songole Tatar
 
Screenshots_2022-09-26-17-13-17.jpg
 
December na kwenda na maji na mafuta ya upako.
 
Sawa inabidi uje upige picha mwenyewe maana watu wanahisi huko ni kama mjini

Kuna sehemu huwa picha hazitoki
**** mzee mmoja yupo Makambako

Ana 'mkweche' wake tani 7 lakini hata akiwa ana mzigo hapimi pale mizani.

Akipima tu, mzani unaharibika kwa siku kadhaa...

Walimbishia siku ya kwanza wakapata shughuli...

Pia huwa hapigwi picha

Wakati wa kujiandikisha kupiga kura aliwatahadharisha wahusika kuwa yeye hapigwi picha, akipgwa camera itaharibika...

Baada ya ubishani na shauku wakapiga , lakini picha haikutoka wala camera haikufanya kazi tena, zikaharibika camera nyingine mbili baada ya kulazimisha tena, lakini mzee wa watu alikuwa akiwaasa wasimpige picha.

Mytake:-
Haya mambo yapo,
Nimezunguka sana Tanzania hii na nimeona mengi.
 
Luswisi katengele chimetu ngulugulu nsalala ikandana chisyseyse

Ndapwa

Nimeimisi ileje yangu

Hapo short cut unatakiwa uingilie chuo cha magereza au ushirika ndio utafika haraka
nimepita hiyo njia mwezi uliopita iko poa sana sange , kalembo ipasa nyumbani ni nyumbani nakupenda sana na sasa wandugu msihangaike wakati wa kurudi nimepita ya kutokea mbalizi na yenyewe inapita katengele labda uwe na gari fupi lakini ni nzuri sana unapita juu yamilima yote
 
Karibu tena mkuu mi nipo hapa.........
 
**** mzee mmoja yupo Makambako

Ana 'mkweche' wake tani 7 lakini hata akiwa ana mzigo hapimi pale mizani.

Akipima tu, mzani unaharibika kwa siku kadhaa...

Walimbishia siku ya kwanza wakapata shughuli...

Pia huwa hapigwi picha

Wakati wa kujiandikisha kupiga kura aliwatahadharisha wahusika kuwa yeye hapigwi picha, akipgwa camera itaharibika...

Baada ya ubishani na shauku wakapiga , lakini picha haikutoka wala camera haikufanya kazi tena, zikaharibika camera nyingine mbili baada ya kulazimisha tena, lakini mzee wa watu alikuwa akiwaasa wasimpige picha.

Mytake:-
Haya mambo yapo,
Nimezunguka sana Tanzania hii na nimeona mengi.
Hahaha wakinga kwenye idara ya uchawi wapo vizr
 
Mkuu hukupata ka picha ama na yenyewe imepigwa lock na mzee Mwambene?
 
Back
Top Bottom